Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Usimlinganishe Gomez na vitu vya kipumbavuKati ya Sven Na Gomez Nani anapata matokeo mazuri?
Yanga wamekuwa wakichezesha wachezaji tofauti kila wakati na haijawasaidia kubeba kombe.Hivi unakwenda kumnunua mchezaji wa kigeni kwa gharama kubwa na matokeo yake ni kumtupa bench kali bila hata kumpa game time!.....
Hivi unakwenda kumnunua mchezaji wa kigeni kwa gharama kubwa na matokeo yake ni kumtupa bench kali bila hata kumpa game time!
Kitendo hichi kinatoa image mbaya sana kwa club yetu na baadae tutakosa wachezaji kutokana na mtindo huu usiofaa na unaoua vipaji vya wachezaji.
Sven alikuwa anajaribu kuwapa wachezaji karibia wote game time lakini huyu Gomes ame-stick na wachezaji wachache tu kama nusu hivi ya timu na wengine wote kuozea bench.
Amme alicheza mechi ya Plateu kule Nigeria Ndemla alicheza mechi ya Platinum kule Zimbabwe. Cha ajabu kwa kocha huyu hata dakika kumi za mechi ya Mwadui Amme hapangwi. Kwa maana hiyo basi Simba haihitaji wachezaji 30 kwani huwatumia nusu tu ya hao wachezaji na wengine wote waliobakia huozea benchini na hivyo vipaji vyao kufa.
Tunamuasa Gomes aache mtindo huu na aige alichokuwa anakifanya Sven.
umeongea pointKwa hivi sasa Kocha wa Simba SC Gomez yupo katika Presha na Kipaumbele chake ni Ubingwa wa VPL na ASFC.
Anachokifanya Kocha wa Simba SC Gomez kwa sasa siyo Kujaribu Wachezaji kwa kuwa hiyo 'game time' unayoisema bali 'he means business' hivyo anapanga Kikosi cha kumpa Matokeo mpaka Malengo yake yatimie na yanaonyesha Kutimia.
Hao (hawa) Wachezaji wako wengine akina Chikwende na Ame wataanza Kupangwa Mechi zijazo pale tu Simba SC ikiwa imeshachukua Ubingwa wa VPL.
Halafu mkubwa kuja Kumlaumu Kocha Gomez kwanini hawapangi hawa Wachezaji wako. Hivi wangekuwa wanajituma, wanasikiliza Maelekezo yake na Kumfurahisha katika 'Training Ground' angeacha Kuwapanga?
Ushindani wa namba Simba SC ni mkubwa sana hivyo Ufanisi wao Mazoezini au pale wanapopewa nafasi ya Kucheza ukiwa mzuri wataaniwa na kuanza Kupangwa? Mbona wapo 'Mastaa' wengi tu hapo Simba SC ila hawapati nafasi na hujawasemea ila umekuja tu kuwasemea akina Chikwende na Ame pekee?
Kama unawapenda sana anzisha Timu yako, kawanunue Simba SC ili uwatumie na wakupe Matokeo ila kwa Simba SC hii ya Profesa Didier Gomez Da Rosa Kiwango na Uwezo Kwanza kisha Urafiki na Kujuana baadae.
Yes! Am here, Mr. Gomez! the head coach of mbumbumbu fc! Do you have any question?Unamshauri kwani yupo humu?