FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Nakubaliana na Wewe, watu walisema eti oooh huyo EPL hawezi. Ni Spain tu na ujerumani. Kwa taarifa tu ni kwamba, Kiu kubwa ya Gardiola ni kushinda UCL akiwa na timu nyingine ukiacha Barcelona. Na kwamba, kumbuka hajafanikiwa kuchukuwa UCL alipokuwa na Bayarn ya ujerumanu.Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili
Akaenda zake mapumziko marekani
Unamsikia kaenda bayern
Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi
Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3
Haters wanaanza ongea
Pep anaogopa epl
Sio muongeaji sana
anasogea Epl
kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city
Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake
Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo
leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama
Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira
Sterling kawa invicible
David silva kawa incredible
Ana kikos kipana na kizur mno
PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii
come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya
WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Alisema hawezi badili mfumo wake hata kama man cty hawamwelewi bora aondoke kuliko kufanya wanachokitakaPep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili
Akaenda zake mapumziko marekani
Unamsikia kaenda bayern
Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi
Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3
Haters wanaanza ongea
Pep anaogopa epl
Sio muongeaji sana
anasogea Epl
kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city
Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake
Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo
leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama
Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira
Sterling kawa invicible
David silva kawa incredible
Ana kikos kipana na kizur mno
PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii
come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya
WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Eti ila UEFA ASAHU. Sawa mchambuzi wa soka. Ila kumbuka mashabiki kama wewe, wengi mliema EPL hawezi, sahizi mnaona ana chanja mbuga mmebaki na kauri ya kwamba hawezi chukua UEFA.Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Kweli kabisaWe mshabiki mandazi hata ukipinga huwezi shusha ubora wa pep acha mihemuko
Hawezi tena kushinda UEFA? Swali, Je! Emu taja makocha/timu ambazo zenyewe ni lazima zipo kushinda UEFA. Eti hawezi tena kushinda. Nakubaliana na Wewe kama UEFA huwa inashindaniwa kwa kubishana kwaNakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their prime
Kuhusu magoli ya Messi ni more of positions, Messi Sasa is more of a playmaker kuliko strikers. Zamani alikua na uwezo wa kukaa up top sababu alikua na viungo wazuri wakumlisha ila Sasa yeye ndo anashuka kuwalisha wengine.
Ni sawa na kusema mbona CR7 anafunga zaidi RM kuliko wakati akiwa Manu, ni swala la position na role tu.
Pep pamoja na ufundi wake na sifa zoote mnazompa hatoweza shinda Kama Barca na hawezi shinda Tena UEFA sababu Barca ilimfanya Pep aonekane Bora na sio otherwise.
Atakapoichukua timu kama everton na wachezaji wake walivo kisha akaichukulisha kombe na kuifanya ikatisha kabla ya kuanza kumwaga hela ndipo nitakapomkubali Pep. Venginevyo namuona ni sawa tuWamemtimua Carlo Ancelotti baada ya kugongwa vibaya na PSG first leg. Lile ndo kombe wanahitaji, Unadhani angepoteza bundesliga vile wangevunja kandarasi? Hapana. Sababu wanajua bundesliga ni yao tu
Pep hakutimuliwa ila pia hamna Cha ajabu alichofanya Bayern that's the point. Mleta uzi na mashabiki maandazi wengi wanataka kusema Pep alifanya ya ajabu Bayern, Hapana alifanya kile kile cha siku zote.
Kifupi huyo jamaa anaekupinga pasipo uthibitisho maalumu kaanza kufuatilia soka nadhani 2011 hapo hajui hata barcelona na messi walianzia wapi na pep kawakuta wapi achana na shabiki maandazi huyomtu makini yeyote akieleza tatizo huwa anatoa na solution ya tatizo... umeeleza mengi kupinga pep sio kocha bora.. ila hujatutajia kocha bora duniani ni nani.. Zidane au??
binafsi xavi na iniesta nimemjua baada ya pep kuwapanga sana.. enzi za rijkaard hawakuvuma kabisa..
na lingine je messi kafundishwa mpira na nani?? unajua before barcelona ya wakubwa.. pep alikuwa anafanya kazi gani?
Bufa kaka ntakukumbusha baada ya Gudiola kubeba uefaWamemtimua Carlo Ancelotti baada ya kugongwa vibaya na PSG first leg. Lile ndo kombe wanahitaji, Unadhani angepoteza bundesliga vile wangevunja kandarasi? Hapana. Sababu wanajua bundesliga ni yao tu
Pep hakutimuliwa ila pia hamna Cha ajabu alichofanya Bayern that's the point. Mleta uzi na mashabiki maandazi wengi wanataka kusema Pep alifanya ya ajabu Bayern, Hapana alifanya kile kile cha siku zote.
Bufa kaka ntakukumbusha baada ya Gudiola kubeba uefa
Kifupi huyo jamaa anaekupinga pasipo uthibitisho maalumu kaanza kufuatilia soka nadhani 2011 hapo hajui hata barcelona na messi walianzia wapi na pep kawakuta wapi achana na shabiki maandazi huyo
Hana lolote anatembelea kivuli cha ela,akitoka pale utaskia kaenda psgAngalia kwa mda mfupi nan ana mafanikio zaid
pep kaanza barca kaja bayern now city
Mourinho kafundisha team kibao tena kubwa kwenye ligi zao
KWA haraka
Chelsea porto madrid man u inter n kaabza kitambo
Pepe kama julio tuMourinho hana tofauti na Lwandamina
Eti ila UEFA ASAHU. Sawa mchambuzi wa soka. Ila kumbuka mashabiki kama wewe, wengi mliema EPL hawezi, sahizi mnaona ana chanja mbuga mmebaki na kauri ya kwamba hawezi chukua UEFA.
sema Everton ikimsajili sio akichukuaAtakapoichukua timu kama everton na wachezaji wake walivo kisha akaichukulisha kombe na kuifanya ikatisha kabla ya kuanza kumwaga hela ndipo nitakapomkubali Pep. Venginevyo namuona ni sawa tu
Majina yote ya man city players yamekuwa makubwa kwa sababu ya Pep n kumbuka ile top six yote ya EPL ina world class playersUkiwa na kundi la world class players na superstars inakuwa kazi rahisi vile! I value more alichokifanya Ranieri kuchukua ubingwa na bunch of scrubs! Or SAF winning with them class of 92!
haya shabiki kitumbuaKifupi huyo jamaa anaekupinga pasipo uthibitisho maalumu kaanza kufuatilia soka nadhani 2011 hapo hajui hata barcelona na messi walianzia wapi na pep kawakuta wapi achana na shabiki maandazi huyo