Hili ndo tatizo wengi hawajui soka in details wanabisha huku hawana info zake kutosha.mtu makini yeyote akieleza tatizo huwa anatoa na solution ya tatizo... umeeleza mengi kupinga pep sio kocha bora.. ila hujatutajia kocha bora duniani ni nani.. Zidane au??
binafsi xavi na iniesta nimemjua baada ya pep kuwapanga sana.. enzi za rijkaard hawakuvuma kabisa..
na lingine je messi kafundishwa mpira na nani?? unajua before barcelona ya wakubwa.. pep alikuwa anafanya kazi gani?
sababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
Akishinda UEFA tena na EPL msimu ujao nakata kimba. UEFA mtoto halali na helaManeno yako hayo subiri mudaa uongeee ndio utajua pep ni coach
Ni kweli bundes hajafany maajabu. Ukumbuke yule mzee aliestafu alikuw ametoka kuchukuw makombe ma 3. Pep hakuweza. Hata hapa man city tusubiri msimu ujao akifanya vizuri tena. Nitamkubali. Nakumbuka man city ya Mancini iliwahi kuitwa MAN SITA.Wamemtimua Carlo Ancelotti baada ya kugongwa vibaya na PSG first leg. Lile ndo kombe wanahitaji, Unadhani angepoteza bundesliga vile wangevunja kandarasi? Hapana. Sababu wanajua bundesliga ni yao tu
Pep hakutimuliwa ila pia hamna Cha ajabu alichofanya Bayern that's the point. Mleta uzi na mashabiki maandazi wengi wanataka kusema Pep alifanya ya ajabu Bayern, Hapana alifanya kile kile cha siku zote.
100%. Pep akija shida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile nakata kimba barabarani. Au EPL tena next yrUna uhakika na hiki unachokiongea?
Ni Kocha mzuri anajua kuwaendeleza players individually I think he's the best at that ila Sasa watu wanampa sifa zinazozidi kitu ambacho sio kweli.Ni kweli bundes hajafany maajabu. Ukumbuke yule mzee aliestafu alikuw ametoka kuchukuw makombe ma 3. Pep hakuweza. Hata hapa man city tusubiri msimu ujao akifanya vizuri tena. Nitamkubali. Nakumbuka man city ya Mancini iliwahi kuitwa MAN SITA.
Mmmmmh100%. Pep akija shida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile nakata kimba barabarani. Au EPL tena next yr
[emoji23] [emoji23]Niko na msela wangu anadai eti hakuna kocha mzuri zaidi ya "Wenga"
Sibishan na wewe boss ila lazima ujueKwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Huu upuuzi wako huwa mnauongea sana mashabiki wa man unitedKwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Hivi kati ya Zinedine Zidane na Pep Guardiola nani aliyefanya usajili mkubwa wa wachezaji...?PEP KIBOKO, HASAJILI WACHEZAJ WAKUBWA KAMA MAURINHO NA ZIDANE AMBAO KILA STAR WANATAKA KUMNUNUA.
Masela wengi ni wehuNiko na msela wangu anadai eti hakuna kocha mzuri zaidi ya "Wenga"
Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili
Akaenda zake mapumziko marekani
Unamsikia kaenda bayern
Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi
Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3
Haters wanaanza ongea
Pep anaogopa epl
Sio muongeaji sana
anasogea Epl
kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city
Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake
Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo
leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama
Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira
Sterling kawa invicible
David silva kawa incredible
Ana kikos kipana na kizur mno
PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii
come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya
WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Head to head nan kagongwa sana?Kitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe
Mourinho hana tofauti na LwandaminaHili ndo tatizo wengi hawajui soka in details wanabisha huku hawana info zake kutosha.
Pep kaanza kufundisha Barca B 2007, Messi made his debut October 2004. Kwa vyovyote vile Pep hajamfanya Messi kuwa Bora bali alimkuta Messi pamoja na Xavi na Iniesta kwenye peak zao. Hawa walimfanya Pep kuonekana bora ila sio otherwise
Hapo hapo nikuulize, unataka kusema Luis Enrique ni kocha mzuri sana? Nani kamfanya mwenzie aonekane bora Enrique au Barca maana Enrique nae kashinda kila kitu alipoifundisha Barca, ila Enrique alifeli miserably akiwa Kocha Italy
Pep ni kocha mzuri na ana ushawishi wa kipekee kwa players ila Sasa sifa zisizidi.
Binafsi bado namuweka Mou rank ya juu kwa ubora kuliko Pep. Mou amethibitisha Hilo katika timu tofauti tofauti na kwa kutumia wachezaji amabo sometimes ni tofauti na falsafa zake
Angalia kwa mda mfupi nan ana mafanikio zaidKitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe
Nakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their primeSibishan na wewe boss ila lazima ujue
messi huyu wa sasa so messi yule wa Guardiola
messi wa Guardiola hakuwah fika mechi 8 bila ku score
messi yule aliwema record ya goals zaid ya 90 kwa msimu mmoja
messi yule alizifunga team zote za La Liga magoli mawili kila mechi tena mfululizo
messi yule aliscore goal 50 kwa la liga tu
messi huyu wa leo kila siku analetewa stress na Ronaldo
Kuhusu bayern
lazima ujue bayern hawakumpenda Pep nae alilijua hilo
hawakuipenda falsafa yake
Walionesha chuki za waz ambazo hakuweza vumilia
Huyu wa man city subir mda utaongea
Man City anashinda na at the sama time ana posses
katika mechi moja sikumbuk dhid ya nan Pep alifanya city igonge pas zaid ya 900 hakuna team EPL ishawai fanya hivo
its about time
TUSUBIRI
RONALDO alipohojiwa kwann yupo tofaut na alivokua manNakubaliana na wewe ila hiyo yote haikuwa sababu ya Pep solely. Ni kweli Pep ana ushawishi wa kipekee kwa players ila pia aliwakuta wachezaji wengine wote wakiwa kwenye peaks zao, ndo maana hata Spain national team 2010 hadi 2012 ilikua Moto sio sababu ya Pep ila pia na players walikua at their prime
Kuhusu magoli ya Messi ni more of positions, Messi Sasa is more of a playmaker kuliko strikers. Zamani alikua na uwezo wa kukaa up top sababu alikua na viungo wazuri wakumlisha ila Sasa yeye ndo anashuka kuwalisha wengine.
Ni sawa na kusema mbona CR7 anafunga zaidi RM kuliko wakati akiwa Manu, ni swala la position na role tu.
Pep pamoja na ufundi wake na sifa zoote mnazompa hatoweza shinda Kama Barca na hawezi shinda Tena UEFA sababu Barca ilimfanya Pep aonekane Bora na sio otherwise.
Gharama ya manunuzi ya man city unaijua lakini...PEP KIBOKO, HASAJILI WACHEZAJ WAKUBWA KAMA MAURINHO NA ZIDANE AMBAO KILA STAR WANATAKA KUMNUNUA.