Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Nov 22, 2017 #1 Raia wa china wakishirikiana na wanajeshi katika ufukwe wa Jiji la Qidong walishirikiana kumuokoa na kumrejesha baharini nyangumi alitupwa ufukweni na mawimbi. My take: ingekuwa haoa kwetu polis wangekuta manyoya tu. Unaweza kusoma zaidi hapa. People help stranded humpback whale in E China's Jiangsu - Xinhua | English.news.cn
Raia wa china wakishirikiana na wanajeshi katika ufukwe wa Jiji la Qidong walishirikiana kumuokoa na kumrejesha baharini nyangumi alitupwa ufukweni na mawimbi. My take: ingekuwa haoa kwetu polis wangekuta manyoya tu. Unaweza kusoma zaidi hapa. People help stranded humpback whale in E China's Jiangsu - Xinhua | English.news.cn