PENZI la USALITI.... wapenz wawil waliamua kujitupa gorofani wafe pamoja kuliko kutengana wakaamua kupanda juu na kufumba macho yao kisha wajiachie,
mume akaji2pa mke akarudi nyuma akawa anamcheka huku akisema kafie mbele uko!, mume nae kumbe alificha parachuti akalikunjua huku akitikisa kichwa na kusema.... dah!unabahati ungekuja nikuue ----- we..
Je! nani msalit...?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums