Penzi la muuza uji

never Se me

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
702
Reaction score
1,013
Nazikumbuka zile chupa za konyagi .ata sijui tuliziangusha ngapi Ila nacho kumbuka Yule jamaa akushusha mikono. Nilikuwa chakali bwiiiii
Ila nilikuwa makini mana watoto wa mabibo ukiwa maji ujielewi lazima wata piga 0713

Sasa Leo nimeamka saa 2 . Uchovu sana kichwa kinauma nikaona isiwe tabu nika pate supu kongoro kwa mama ngangali

..ww mama vipi ww .vipi kwani vipi .si hilo siwa kama unanyonyesha mtaa mzima... Heeeeheeeeeehe bora ziwa langu kuliko ziwa la goma lako juzi tunakupiga chabo una linyonya uku unalia .ziwa lenyewe mtepweto...

Duuuuuuuuuu .kumbe juzi nimeingiza goma gettho mama ngangali ananipiga chabo ...

Basi watu kicheko pale.... Mjomba yo-yo alicheka Adi kutoa ushuzi .... Basi bwana Hari ya hewa ikachafuka pale ikabidi niondoke tu....

Wewe kidudu nipe jero langu la uji na kikombe .... Alikuwa dada Sasha muhuza uji... Twende home uchukue

Basi tume fika ndani ..kutokana na uchovu nikawa najinyosha .kutokana na kuvaa bukta nyepesi .mnara ukawa umejichora ...

Looooooo ww kidudu wataka unifanye nn ...kwani vipi ...yani kuingia kwako ndo unapandisha mnara 4G .... Sio ivo

Sija kaa vizuri Sasha kapeleka mikono yake ikulu ............... Kilicho fwata penzi la muhuza uji...

Napumzika apa
 
Hii itakua episode inaendelea sio bure,ngoja nsake previous episode
 
Na UTI na binamu yake maana kwa ulivyokua mzembe!Next time utambeba na shangazi mtu bila kujua.Take care!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…