mimi na mpenzi kwenye kahawa na migomba usiku bila kuogopa kulalia nyoka,anatandika kanga
jitaarishe na mtoto wako wa kike kuibiwa kama ulivyoiba wa mwenzako,nadhani litakufurahisha penzi la kwanza la binti yako,na haswa akitoroshwa mlango wa nyuma,majira ya saa 5 usiku,bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote!
hujakosea na hiyo ndio tofauti kati yangu na yako,na najivunia kitu hicho!Tushukuru pia kuwa na wewe hukuwahi kuiba wala kuibiwa...na kwamba uliye naye umefunga naye ndoa na ni mpenzi wako wa kwanza!
Ujana tu! pili walikuwa hawajapishana sana umri.. haya yanatokea sana...!
kaka najaribu kufikiria wewe ulikua 18, na bila shaka ulikua umemzidi umri huyo kigoli...sasa najiuliza dada gani anayemruhusu mtoto mdogo chini ya 18 kupelekwa exile
hujakosea na hiyo ndio tofauti kati yangu na yako,na najivunia kitu hicho![/QUOTE Ulijuaje kama mke wako kwako ndo ilikuwa mara ya kwanza asije kuwa alikuektia bure..maana madem bana utasikia ah ilipotea bikra kwe baskeli