Penzi la Harmonize Bado la Mtesa Slay Queen Wolper

Najiuliza hivi wakati Wolper yupo na Harmonize kama angejua dogo atatoboa kiasi hichi wangeachana? Sizani.

Tatizo la wanawake wakiwa kwenye ubora wao wengi huamini kwamba they can do better than you, huku wakisahau kwamba muda wao wa kutamba ni mdogo sana.

Swali la kujiuliza, Je Harmonize angetoswa na WCB na kupoteza ramani, Wolper angejibebisha kwake? Au Wolper saivi angekuwa na mtu mwenye umaarufu na mkwanja kumzidi Harmonize bado angejibebisha kwa dogo?

Hapo hakuna cha mapenzi wala nini, ni Malaya tu anapiginia kula yake. Mwanaume usijidanganye unapendwa, women don't love you, they love what you can do for them.
 
Dogo jana kasema alishachapa nyapu mbili tu, ya Sarah na ya Wolper.

Anafeli sana kama ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…