Penzi jipya la kero....

Inawezekana kuna ukweli ndani yake maana wanawake wa namna hiyo wapo.
wanawake wa hivyo sio swagga hizo wapo wengi saaana sana tena kama ndio kakubahatisha hajiamini vive haalaaaa atakupigia mpaka saa 8usiku kujua kama umelala na mwanamke wacha nni hatari sana!ila p[ia nikukisa kazi kwa kweli
 
Kweli kaka unaongea ukweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama umekamata wawili kama hao, basi utakufa masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…