Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,123
- 11,353
Umeandika nonsense mkuuPentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa.
chumvi na maji.
moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo;
1; mahubiri ya pesa tu na mali, kamwe Bwana yesu hakuwahi kuwa na mahubir ya mtindo huu. biblia inasema haiwezekan kwa tajiri kuurithi ufalme wa mungu. utafuteni kwanzaufalme wa mungu na hayo mengine mtazidishwa
kanisani wamejazana wenye dhambi wanaotaka baraka za Mungu.
2; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.
1 timotheo 2;11
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa
utii wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya
kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya
mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa
kimya.
3;KUNENA KWA LUGHA
1 wakorintho 14;16
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha,
basi waseme watu wawili au watatu si zaidi,
mmoja baada ya mwingine na lazima awepo
mtu wa kutafsiri. 28Lakini kama hakuna mtu ye
yote wa kutafsiri, hao watu na wanyamaze
kimya kanisani na wanene na nafsi zao
wenyewe na Mungu.
4; USASA IBADANI
Mungu hajwahi kwenda na wakati kwa sababu maendeleo ya usasa yoote ni ya ibilisi. yeye ni yeye yule jana leo na hata milele habadiliki. akisema usivae hiki ni hivyo milele . sasa huu usasa wa mpaka kumuita mungu DADY ni aibu kanisani.
5; MIUJIZA NJE YA NENO LA MUNGU
hapa sasa ndo kuna tatizo kubwa watu wamekuwa wakifata miujiza na si neno. kumbuka B wana yesu alitumia miujiza ili kuwavuta watu awahubirie neno la uzima. ila huu uhubiri wa kumwagia chumvi nymba na kuweka picha ya mhubiri chini ya biasharayako ni ushetani na ushirikina.
KWA KUMALIZA UKIANGALIA VIZURI WENGI WALIOKUWA WASHIRIKINA WALITAFUTA AINA MPYA YA USHIRIKINA ULIOJIFICHA KATIKA VAZI LA KIDINI.
WENGI WAMEENDA KWA WAGANGA NA KWA MANABII KWA KUWA NI VVITU VINAVYOFANANA.
INASIKITISHA KUONA PENTEKOSTE ILIPOFIKIA.
Kabisa mimi sio mpentekoste ila nasema hakuna mahali hatari kiroho kama Pentekoste! Kuna uchafu wa kila aina sio uchawi, wizi, tamaa, ni hatari sana!Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.

Yaan ata Papa kufa unaona wivuu dah. Ndo anakufa yeye na syo wewe kana wivu wako ukisubiri zam yakoPapa anakufa huko Vatican
Kulingana na maandiko yeyote anaeshiriki mimbaea iliyoshikiliwa na mwanamke mbingu aisahauNyie si ndio mnaopiga kelele kuwa uislamu unamkandamiza mwanamke,,endeleeni kuwapa madhabahu akina Zumaridi lkn ukweli mbinguni mtapasikia tu..
Nipo pale..
Sasa wewe umeshindwa kuona tofauti apoTuliza akili wewe usiwe mpingaji wa kila kitu, ufalme utakupitia kushoto alafu hao unaowaona waongo wakapasua. Mchungaji yeyote anakundi Sasa usifikiri Jambo la kuwa na kundi Ni mchezo mchezo, wale Mungu huwaangalia kwa ukaribu mno.
Kipindi Cha yesu alipakwa mafuta, yesu mwenyewe alitumia tope kumfumbua mtu macho. Majuzi mwamposa kauza tope hizohizo tu kule mbeya lkn makelele kibao.
Iko hivi; huduma ya neno Ni gharama kubwa mno ukitaka kuamini hili jaribu kujenga kakibanda kadogo alafu Pima gharama ndipo utakuja kujua sadaka kwa mwamposa haziibiwi.
Unafata upepo wa maneno ya wachawi ambao wamejaribu nguvu ya Mungu na kushindwa unafikiri watakuwa na maneno mazuri kwa watumishi? Lazima wataiponda huduma, Sasa na wewe usivyo na tafakari unaungana kwenye ngoma yao mnacheza kwa pamoja pasipo kushtuka kwamba umeshapotezwa kitambo tu huku ukijipa moyo kwamba fikra zako zipo sahihi.

huwezi ukambeba Yesu kisha ukaanguka kwenye huduma mbovu.Kiukweli Mimi huwa sichagui huduma ipi niende endapo nitajua Kama nipo fiti kiroho, maana hata Kama nitaangukia kwenye huduma mbovu lkn bado niliembeba Ni zaidi ya huduma hiyo mbovu
Sipo kwa mwamposa Mimi Wala maisha yangu hayana uhusiano na mwamposa kabisa. Namtumia mwamposa kuwakilisha watumishi wa Mungu wote ambao wanapitia vijineno neno.
Maana Tanzania yetu watu wakishakuwa maarufu tu lazima maneno.
Tangu zama zote roman katoliki ina hali mbaya kiroho ila kiuchumi wako vizuri hiyo inajulikana"Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"
Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Roman ndio nini? Kwanza wakatoliki wako sawa miaka zaidi ya 2000 maana kanisa limejengwa juu ya mwamba. Ata atokee Papa wa hovyo kanisa linabaki vizuri. Yesu si mjinga kuliacha kanisa lake kwa Petro. Sasa nyie vinyamkera wa vikanisa vya fulani lazima mteseke. Rudini nyumbani kumenoga.Pentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa.
chumvi na maji.
moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo;
1; mahubiri ya pesa tu na mali, kamwe Bwana yesu hakuwahi kuwa na mahubir ya mtindo huu. biblia inasema haiwezekan kwa tajiri kuurithi ufalme wa mungu. utafuteni kwanzaufalme wa mungu na hayo mengine mtazidishwa
kanisani wamejazana wenye dhambi wanaotaka baraka za Mungu.
2; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.
1 timotheo 2;11
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa
utii wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya
kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya
mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa
kimya.
3;KUNENA KWA LUGHA
1 wakorintho 14;16
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha,
basi waseme watu wawili au watatu si zaidi,
mmoja baada ya mwingine na lazima awepo
mtu wa kutafsiri. 28Lakini kama hakuna mtu ye
yote wa kutafsiri, hao watu na wanyamaze
kimya kanisani na wanene na nafsi zao
wenyewe na Mungu.
4; USASA IBADANI
Mungu hajwahi kwenda na wakati kwa sababu maendeleo ya usasa yoote ni ya ibilisi. yeye ni yeye yule jana leo na hata milele habadiliki. akisema usivae hiki ni hivyo milele . sasa huu usasa wa mpaka kumuita mungu DADY ni aibu kanisani.
5; MIUJIZA NJE YA NENO LA MUNGU
hapa sasa ndo kuna tatizo kubwa watu wamekuwa wakifata miujiza na si neno. kumbuka B wana yesu alitumia miujiza ili kuwavuta watu awahubirie neno la uzima. ila huu uhubiri wa kumwagia chumvi nymba na kuweka picha ya mhubiri chini ya biasharayako ni ushetani na ushirikina.
KWA KUMALIZA UKIANGALIA VIZURI WENGI WALIOKUWA WASHIRIKINA WALITAFUTA AINA MPYA YA USHIRIKINA ULIOJIFICHA KATIKA VAZI LA KIDINI.
WENGI WAMEENDA KWA WAGANGA NA KWA MANABII KWA KUWA NI VVITU VINAVYOFANANA.
INASIKITISHA KUONA PENTEKOSTE ILIPOFIKIA.
Hakuma aliyr Mpagani wa kidini bali sote tunaabudu Nguvu kuu ya UlimwenguNi bora uwe chizi kuiko kuwa mpagani wa kidini
kama ipi mkuu, huwezi bisha ambacho neno limesema.Umeandika nonsense mkuu
Jidanganye! Zaidi ya Miaka 2000 kanisa limesimama na itabaki hivyo mpaka aliyelisimika atakaporudiTangu zamani
BIBLIA INASEMA KABLA YA KUJA KWAKE YESU ATASULUBISHWA MARA YA PILI NA WALE WAJIITAO KWA JINA LAKE.Jidanganye! Zaidi ya Miaka 2000 kanisa limesimama na itabaki hivyo mpaka aliyelisimika atakaporudi
mathayo 24; 23Wakati huo kama mtu yeJidanganye! Zaidi ya Miaka 2000 kanisa limesimama na itabaki hivyo mpaka aliyelisimika atakaporudi
Mtu ambaye bado hata haujui maana ya Ulimwengu unapata wapi nguvu na akili ya kuhoji kuhusu Kanisa katoliki?ULIMWENGU NI NN?
Hiyo Biblia ya Kipentecoste labda 😀😀😀BIBLIA INASEMA KABLA YA KUJA KWAKE YESU ATASULUBISHWA MARA YA PILI NA WALE WAJIITAO KWA JINA LAKE.
akasema je nitakapokuja nitaikuta imani niliyowaachia?