Msichanganye catholic church na roman empire. Kwanza hakuna kanisa linaitwa roman catholic its a misnomer, kanisa ni catholic period. Lina rites kibao japo kubwa ni latin rite ambayo waanglikana waliita roma sababu askofu anaishi Rome. Na sio official name. Kanisa la ulimwengu sio roman. Katoliki tupo , wengi, kuna chaldean, maronite, melikite, byzantine catholic, syro-malabar catholic. Ni universal. Hakuna uhusiano na roman empire, japo constantine kwa mara ya kwanza alituruhusu kuabudu bila persecution, na mama yale alikuwa convert. Sasa hii inawachanganyaga sana conspiracy theorists wanadhani Constantine alikuwa na mkono kwenye mafundisho, kumbe la! Kanisa lilikuwa limeshawekwa msingi imara. ObserveRoman Catholic follow Jesus doctrine through Bible as guidance but Roman empire don't follow the bible as act to govern.
Roman Catholic don't follow Holy Scriptures as guidance. Holy scriptures identified days of the week as First day, Second Day, Third Day, Fouth day, Fifth day and Shabbat day. Ila Roman Catholic ikaona haiwapendezi wakaamua kuzipa siku za week majina ya miungu:Roman Catholic follow Jesus doctrine through Bible as guidance but Roman empire don't follow the bible as act to govern.
Pana mapokeo mazuri na mapokeo mabaya sasa hata kama ni mapokeo hayapingani na Sheria ya Mungu shida ipo wapi.Offcourse Roman Catholic ndio ilioanzisha hiyo hybrid belief wakaiita Christianity faith kwa kuchanganya holy faith na paganic traditions and practices na wamejitahidi kuitunza kwa nguvu zote ila at the expense of suppressing truth. Kanisa lolote linalochipua kutoka Roman Catholic Christianity faith haliwezi kuwa kanisa genuine la watakatifu.
Imani aliyoianzisha Mungu mwenyewe haikuwa Christianity ila imani ya utakatifu. Hii ndio twaweza sema ni dini ya Mungu mwenyewe; ilifuatwa na manabii kabla ya ujio wa Kristo, Yesu Kristo aliishi, mitume baada ya Kristo waliishi na kuihibiri, pamoja na kanisa la mwanzo lililoanzia Yerusalem siku ya pentekoste hii ndio ilikua foundation faith of the church.
Naomba ujue kuwa hapa najaribu kulizungumzia lile kanisa la watakatifu ambalo Yesu aliahidi kulijenga kutoka kwa Petro, ambalo malango ya kuzimu hayawezi kulishinda (hili kanisa Roman Catholic wameshiriki kulisupress na kujaribu kulieliminate); not hiyo hybrid faith called Christianity from Roman Catholic.
Kwa kujifunza soma kitabu cha matendo ya mitume uone kanisa lisiloshindwa na malango ya kuzimu linafananaje then licompare na kanisa lako la Roman Catholic halafu chukua hatua sahihi.
Unaweza nitajia hayo mapokeo mazuri ya Roman Catholic yasiyopingana na mafundisho yaliotokana na revelation of Holy Spirit in scriptures?Pana mapokeo mazuri na mapokeo mabaya sasa hata kama ni mapokeo hayapingani na Sheria ya Mungu shida ipo wapi.
Yapi uyaonayo yanakwenda kinyumeUnaweza nitajia hayo mapokeo mazuri ya Roman Catholic yasiyopingana na mafundisho yaliotokana na revelation of Holy Spirit in scriptures?
Hahahaa we jamaa wewe
hakujawahi kuwa na mapokeo yanayokubaliana na neno la mungu. ukikubali ibilisi akuongezee neno moja tuu nje ya neno la mungu jua ulishamtimua mungu.Pana mapokeo mazuri na mapokeo mabaya sasa hata kama ni mapokeo hayapingani na Sheria ya Mungu shida ipo wapi.
hakuna pokeo la catholic linaloendana na maandiko.Unaweza nitajia hayo mapokeo mazuri ya Roman Catholic yasiyopingana na mafundisho yaliotokana na revelation of Holy Spirit in scriptures?
aminaaaOffcourse Roman Catholic ndio ilioanzisha hiyo hybrid belief wakaiita Christianity faith kwa kuchanganya holy faith na paganic traditions and practices na wamejitahidi kuitunza kwa nguvu zote ila at the expense of suppressing truth. Kanisa lolote linalochipua kutoka Roman Catholic Christianity faith haliwezi kuwa kanisa genuine la watakatifu.
Imani aliyoianzisha Mungu mwenyewe haikuwa Christianity ila imani ya utakatifu. Hii ndio twaweza sema ni dini ya Mungu mwenyewe; ilifuatwa na manabii kabla ya ujio wa Kristo, Yesu Kristo aliishi, mitume baada ya Kristo waliishi na kuihibiri, pamoja na kanisa la mwanzo lililoanzia Yerusalem siku ya pentekoste hii ndio ilikua foundation faith of the church.
Naomba ujue kuwa hapa najaribu kulizungumzia lile kanisa la watakatifu ambalo Yesu aliahidi kulijenga kutoka kwa Petro, ambalo malango ya kuzimu hayawezi kulishinda (hili kanisa Roman Catholic wameshiriki kulisupress na kujaribu kulieliminate); not hiyo hybrid faith called Christianity from Roman Catholic.
Kwa kujifunza soma kitabu cha matendo ya mitume uone kanisa lisiloshindwa na malango ya kuzimu linafananaje then licompare na kanisa lako la Roman Catholic halafu chukua hatua sahihi.
Wakatoliki nowadays mmechangamka nyimbo zenu mnavaa vimini supu nje nje ππ, hakuna mwenye afadhalinyimbo zenu hazina tofauti na nyimbo za mashetani hazina uvuvio wa Roho Mtakatifu si ajabu muimbaji wa injili kucollable na muimbaji wa shetani wakatoa single,check mastep ya kuzimu kwenye nyimbo zenu
Romani kubaka watoto, na masista kutoa mimba hivyo."Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"
Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Watumishi feki ni werevu sana, hawaachi kuwatisha ili msikosoe matendo yao ambayo Yako kinyume kbs na maandiko..Zitaje Sasa tujue. Msiwe watu wa mashaka kwa watumishi wa Mungu. Hebu fikiria kwamba mtumishi Ni wa Mungu alafu wewe hujasimama vizuri then unamsema vibaya unafikiri Mungu anakuchukuliaje?
Kwa hiyo Roman wanabaka watoto na Masista kutoa mimba ndiyo unachozungumzia? π una ndugu sister aliyetoa mimba? Pole sana πRomani kubaka watoto, na masista kutoa mimba hivyo.
Hii tabia sijui kama wameeacha..