kitoromoni
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 424
- 210
Will those rockets bring back ESCROW FUNDS??!!
Sawa mimi sikatai.., lakini la msingi kabisa.., pesa za ESCROW ziko wapi..??!Hapo ndipo ninapobaki hoi kwa akili za wanachama wa chadema ( Chaga Development Manifesto), sijui kaka Exorcist ulifikiria nini kuweka hiyo comment, au ndio falsafa ya Babu Slaa kuwa kunyweni gongo na mhakikishe jamii forums nzima inakuwa na neno Escrow.
Mkuu mbona ni kitu cha kawaida kununua rockets na hii ni kama unaona kuztengeneza unaona ni gharama,unatafuta alternative kununua nchi nyngne ambayo unaona wanauza kwa bei nafuu,ndio maana kuna biashara za kimataifa,hakuna nchi inayojitegemea kwa kila kitu,mbona Tanzania tunaagiza toothpaste China wakati tuna miti kibao

Jamaa yupo sawa. Hao Warusi hapo, wanashirikiana vizuri tu na USA. Hizo danganya toto, wadanganye wengine.
Sisi kwanza tudai fela zetu za escrow, mengine baadaye.
Hebu angalia control room ya Mrusi, pale kwenye screen kuna majina gani.