are you sure those are actual pictures? hiyo ni michoro ya kwenye computer yako mkuu, ni kitu tofauti kabisa na kazi halisi, tumia camera yako kupiga picha progress ya kazi halisi huko site uweke hapa. Tunajaribu kujenga mkuu, ili watu waone kweli mnafanya kazi kwa uhakika, it is for your own good, bro!