Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Sasa ndo tuseme unatafuta wa kukutia hicho kidole au?Nitamchagua diwani na Mbunge kutoka UKAWA na si zaidi ya hapo. Kwa siye tuaminiao kwenye misingi na tunu Lowassa hachaguliki, kumchagua Lowassa sawa na Kujitia Kidole Matakoni kamwe siwezi,nawatakia kila la kheri mnaoiweza kazi hiyo!
Nitamchagua diwani na Mbunge kutoka UKAWA na si zaidi ya hapo. Kwa siye tuaminiao kwenye misingi na tunu Lowassa hachaguliki, kumchagua Lowassa sawa na Kujitia Kidole Matakoni kamwe siwezi,nawatakia kila la kheri mnaoiweza kazi hiyo!
Heshima kwenu wapendamabadiliko nje ya CCM
Katika kipindi hiki chakuelekea kampeni za uchaguzi mkuu inapendekezwa kuwe na slogan moja ya kuutambulisha UKAWA. Sasa hivi Chadema wanatumia peaples power, NLD - MotoMoto, CUF - Haki sawa kwa wote. Vile vile kuwe na nyimbo za uhamasishaji kwa jina la ukawa zenye kusismua
Ni vyema mambo haya yakafanyika mapema hususn kabla ya Kampeni kuanza
Nawasilisha
Kuna ule wimbo wa Msaga Sumu (Lowasa huyo)unatia mzuka kinoma, yani unaweza kujikuta unatembea Dar mpaka Dodoma kwa mguu mkiandamana huku jimbo hilo likipigwa.
Ambaye anao huo wimbo please nitumie kwa Number hii 0682 338065