Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,205
- 25,535
Kwanini CCM inataka kura ya dhahiri/wazi?'Atakaye pigia kura mgombea asiye "mwenzetu" ,lazima tumchome na bisibisi'
Kura iwe ni ya SIRI!
Kama wewe mwenyewe unapenda uwazi vua nguo zote utembee uchi barabani ndio watu wapige kura ya wazi.Hapo mwaka 2015 tutakapochagua viongozi wetu kwa kipindi kitakachowekwa na Katiba,napendekeza kuwe na kura ya wazi. Wapigakura wafike vituoni na kutamka kupigia chama fulani au mgombea fulani. Kwanza,itarahisisha kuhesabu kura.Pili, mshindi atajulikana mapema.Tatu, kura kuibiwa itakuwa ngumu sana. Ni vyema vyama vinavyotaka kura ya wazi kwenye kupitisha Katiba vikajenga hoja hii. Kwamba,hapo mwaka 2015 katika Uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani,kura iwe ya wazi. Upigaji huu wa kura hautamlazimisha mpigakura kuondoka nyumbani baada ya kupiga kura yake.Atakuwa na haki ya kubaki na kusikiliza wenzake wanasemaje na wamemchagua nani. Kwakuwa kampeni zitakuwa zimeshafanyika,itakuwa ni kutaja tu mchaguliwa. Hii hoja vipi wanasiasa wa Tanzania?
Kwanini CCM inataka kura ya dhahiri/wazi?
Hapo mwaka 2015 tutakapochagua viongozi wetu kwa kipindi kitakachowekwa na Katiba,napendekeza kuwe na kura ya wazi. Wapigakura wafike vituoni na kutamka kupigia chama fulani au mgombea fulani. Kwanza,itarahisisha kuhesabu kura.Pili, mshindi atajulikana mapema.Tatu, kura kuibiwa itakuwa ngumu sana.
Ni vyema vyama vinavyotaka kura ya wazi kwenye kupitisha Katiba vikajenga hoja hii. Kwamba,hapo mwaka 2015 katika Uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani,kura iwe ya wazi. Upigaji huu wa kura hautamlazimisha mpigakura kuondoka nyumbani baada ya kupiga kura yake.Atakuwa na haki ya kubaki na kusikiliza wenzake wanasemaje na wamemchagua nani. Kwakuwa kampeni zitakuwa zimeshafanyika,itakuwa ni kutaja tu mchaguliwa.
Hii hoja vipi wanasiasa wa Tanzania?
sure mkuu, kura ya wazi ndo dawa. Yani ukifika kituoni unatamka tu nafasi ya urais ni EL
I
Wewe adawilly hoja iliyoletwa hapa ni kura wazi wewe tayari umeshaanza na kuleta wagombea hapa naona EL atakuja akulambie namkeo soon maan unakiherehere kama wale wanafunzi waschana watoto wa baba mwanaisha.Please uijue mada kabla hujaanza kulalama bro.