kweli Ndalichako ana kazi kubwa, sekta binafsi iliruhusiwa ili iipe changamoto serikali hiyo tv unayopigia debe ni ya mtu binafsi utamnyang'anyaje uigeuze ya taifa.Isitoshe sijaona uwezo wake wakati inashindwa kutuonyesha vitu vingi duniani kama mashindano ya olympic