Freightliner JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 720 Reaction score 530 Oct 19, 2018 #1 kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari
kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,788 Oct 19, 2018 #2 Naona umechoka kuishi uraiyani mkuu,kapige ripoti polisi uwe salama
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,529 Oct 19, 2018 #3 dagii said: Naona umechoka kuishi uraiyani mkuu,kapige ripoti polisi uwe salama Click to expand... K.U.M.A.N.Y.O.K.O Naona maisha yamekushinda. Japo unatumia Alias lakini nakuhakikishia kuwa lazima utiwe mbaroni we leta masihara na mambo ya msingi. Kisa unatafuta likes na coments ndo unapost Usen..nge kama huuuu??
dagii said: Naona umechoka kuishi uraiyani mkuu,kapige ripoti polisi uwe salama Click to expand... K.U.M.A.N.Y.O.K.O Naona maisha yamekushinda. Japo unatumia Alias lakini nakuhakikishia kuwa lazima utiwe mbaroni we leta masihara na mambo ya msingi. Kisa unatafuta likes na coments ndo unapost Usen..nge kama huuuu??
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,529 Oct 19, 2018 #4 Hadi sasa hivi inajulikana ww ni Mwanafunzi wa UDOM Bado uchunguzi unaendelea. Shenzy kabisa. Kwa usalama wako omba Mods wafute huu uzi. Pia iso pembe peleka kituo cha polisi fastaaaaa
Hadi sasa hivi inajulikana ww ni Mwanafunzi wa UDOM Bado uchunguzi unaendelea. Shenzy kabisa. Kwa usalama wako omba Mods wafute huu uzi. Pia iso pembe peleka kituo cha polisi fastaaaaa
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,757 Reaction score 6,290 Oct 19, 2018 #5 Freightliner said: kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari Click to expand... Nipe namba yako ya simu na anuani tafadhali nikutajirishe haraka. Ninakuja na petrol, kiberiti, bunduki, mapanga, kukusalimia na kukuona.
Freightliner said: kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari Click to expand... Nipe namba yako ya simu na anuani tafadhali nikutajirishe haraka. Ninakuja na petrol, kiberiti, bunduki, mapanga, kukusalimia na kukuona.
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,918 Oct 19, 2018 #6 Kamuuzie sirro