Mkuu unatumia Windows gani na je hiyo game inaitwaje?
Lakini nafikiri hiyo game inakuja na component iitwayo "cache" ambayo ni lazima ipate access kutoka kwenye internet ili iweze kuchezeka kwa uzuri.
Ila kabla hujaendelea na installations kwenye PC yako jaribu kuangalia kama kwenye HDD un nafasi ya kutosha kuweza kubeba ujazo wa software ya game yako na pia uwezo wa PC yako kufanya kazi kwa kasi inayotakiwa.
Mahitaji ya PC yako ili uweze kuingiza Game yako.
Operating System: Windows XP/Vista/7 (kumbuka kama ni XP microsoft wanaacha kutoa support ifikapo nwezi February 2014)
System Requirements:
Minimum system requirements:
Processor (CPU): Intel from 2.2 GHz or equivalent AMD Family
RAM: minimum of 1.5 GB for Windows 2000/XP, 2 GB for Windows Vista / 7
Free hard disk space: At least 3.5 GB
Fanya new installation tena na jaribu kufuata ushauri wa hapo juu.