marregal Member Joined May 8, 2011 Posts 77 Reaction score 16 Jul 1, 2013 #1 habari wanajamvini.. nina katatizo kidogo hapa, kuna Toshiba laptop ukiiwasha tuu inakuambia ufanye set up ya date, time and boot up sequence inatumia windows XP, kiiila siku yaani, na hata some keyboard buttons zimeanza kufail.... assistance plz
habari wanajamvini.. nina katatizo kidogo hapa, kuna Toshiba laptop ukiiwasha tuu inakuambia ufanye set up ya date, time and boot up sequence inatumia windows XP, kiiila siku yaani, na hata some keyboard buttons zimeanza kufail.... assistance plz