Habari wanajukwaa,
Laptop yangu inazima ghafla, yaani ukiwasha inakaa kama sec 30 hadi dakika 1 then inazima ghafla. Shida itakuwa nini?
Msaada tafadhali
Inazima kivipi ina shutdown kama umechagua shutdown au inazima kabisa. Kama inazima kabisa inaweza ikawa inaoverheat kitu kinachosababishwa na mfumo wa kupooza kutowekwa sawa au kuharibika.