4gn GNIna graphic card ipi na dedicated ni ngap
Hapana iyoIko 450k cash,ikikupendeza niambie!
Kali kutokama na hali harisi ya maisha na wateja zipo nyingi kali, Swali je nikikuwekea Utaweza kuzihimili bei zake.Duh yaani nimekuja haraka nikapiga breki ya ghafla. kumbe hiyo ndiyo kompyuta kali ambayo sitoipata tena! Hizi lugha za biashara ni hatari
Mkuu hiyo laptop yako hukupaswa kuinadi kuwa ni laptop kali. Hiyo ni ya kawaida saaana.Kali kutokama na hali harisi ya maisha na wateja zipo nyingi kali, Swali je nikikuwekea Utaweza kuzihimili bei zake.
Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3 - JamiiForumsMkuu hiyo laptop yako hukupaswa kuinadi kuwa ni laptop kali. Hiyo ni ya kawaida saaana.
Kuhusu mimi, binafsi laptop si tatizo kwangu. Ninatumia laptop kali niliyonunua mpya huko Duniani kwa bei ya around 4m TZS. Hii nimetosheka nayo.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji124] [emoji124]Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3 - JamiiForums
Vipi ulipata Kiwanja cha bei ya laptop yako????
Natafuta nyumba yenye vyumba 2 na sebule Buza - JamiiForums
Vipi bado unakaa Yombo Buza? Au umesha hamia masaki
Sijajua tatizo lako mpaka uweke hizo nyuzi, labda utuambie tatizo nini kwaniNatafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3 - JamiiForums
Vipi ulipata Kiwanja cha bei ya laptop yako????
Natafuta nyumba yenye vyumba 2 na sebule Buza - JamiiForums
Vipi bado unakaa Yombo Buza? Au umesha hamia masaki
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3 - JamiiForums
Vipi ulipata Kiwanja cha bei ya laptop yako????
Natafuta nyumba yenye vyumba 2 na sebule Buza - JamiiForums
Vipi bado unakaa Yombo Buza? Au umesha hamia masaki
Mkuu hiyo laptop yako hukupaswa kuinadi kuwa ni laptop kali. Hiyo ni ya kawaida saaana.
Kuhusu mimi, binafsi laptop si tatizo kwangu. Ninatumia laptop kali niliyonunua mpya huko Duniani kwa bei ya around 4m TZS. Hii nimetosheka nayo.
Tatizo ilo hapo juuSijajua tatizo lako mpaka uweke hizo nyuzi, labda utuambie tatizo nini kwani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tatizo ilo hapo juu
Umeelewa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ko laptop ulishindwa kubargain ukanunua mil 4. Na kiwanja ukanunua mil. 6 kutoka milioni 3. Big upHaa haa haa! Mkuu, ktk dunia hii lazima uwe na uwezo wa ku-burgain ktk manunuzi hasa ktk developing countries. Hata muhindi pamoja na kuwa anaweza kuwa na mali nyingi zaidi lakini anapotaka kununua vitu huwa ana-burgain.
Uwezo wangu ni wa kawaida, lakini si wa kushindwa kununua laptop ya mil 4 ambayo umeiona ni big issue.
Kiwanja nilipata kilichokuwa chauzwa mil. 6 na nikafanikiwa kukinunua baada ya kuburgain bei na muuzaji. Kiwanja hakikuwa issue kihivyo, hakikuwa kiwanja cha mwanzo kununua.
Kuhusu ninapoishi siwezi kueleza eneo ninaloishi. Ila waonesha una mawazo finyu sana, kwako Masaki ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiria. Ni sawa na kipofu aliyefanikiwa kuona mbuzi na vifaranga vya kuku kwa miujiza ya Mungu. Kisha anapoelezewa kuwa kuna mnyama mkubwa sana, yeye anasema kama mbuzi!
Ushauri: TEMBEA DUNIANI UJIFUNZE! Kuna elimu kubwa ambayo yapatikana kwa kutembea tu sehemu mbali mbali za dunia.
Mkuu, labda nikueleze tu laptop nilinunua nikiwa Europe. Huko hakuna habari ya kuburgain bei. Bei iliyoandikwa kwenye bidhaa ndiyo unanunulia. Waweka kadi yako ya benki kwenye kijimashine, watia password yako, waiona bei halisi ya bidhaa, una-accept. Watoa kadi yako, unachukuwa risiti yako toka kwenye mashine.Ko laptop ulishindwa kubargain ukanunua mil 4. Na kiwanja ukanunua mil. 6 kutoka milioni 3. Big up
Ni kweli masaki ndio mwisho wa upeo wangu. Ila na ww buza ndipo unapo paweza.
Over.
Nitatembelea Duniani mkuu.Mkuu, labda nikueleze tu laptop nilinunua nikiwa Europe. Huko hakuna habari ya kuburgain bei. Bei iliyoandikwa kwenye bidhaa ndiyo unanunulia. Waweka kadi yako ya benki kwenye kijimashine, watia password yako, waiona bei halisi ya bidhaa, una-accept. Watoa kadi yako, unachukuwa risiti yako toka kwenye mashine.
Narudia tena ushauri wa bure: TEMBEA DUNIANI UJIFUNZE