PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
Hiyo Crack umeiona ya m-zazi wako wa kik.e?mkuu hiyo imetumika miezi minne kweli???, mbona ina crack kwenye kioo na michubuko kwenye case...kama upo serious chukua 100,000
nicheck kwenye hiyo namba utatumiwaPicha?
intel pentium insideGeneration ya ngapi?
Au ni Pentium 2
weka picha humu mkuunicheck kwenye hiyo namba utatumiwa
Pentium 2 umemaanishaintel pentium inside
Processor ni duo au vinginevyo?Used laptop inauzwa kwa anaeyehitaji, imetumika miezi 4 tu na ipo katika hali nzuri kabisa. Haina tatizo lolote la kiufundi, hivo kwa mnunuzi atapewa warrant ya angalau mwezi mzima incase of any technical fault.
Specifications:
1. Hard disk 320GB storage capacity
2. Ram yake ni 3GB
3. Processor ni 2.5HZ
4. Ina uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa sita bila kuichaji
5. Nitakupa bag lake
6. Nitakupa Adopter yake pia.
Bei ni 350,000TZS, lakini maongezi kidogo yapo kwa aliye serious. Muuzaji napatikana Dar es salaam lakini unaweza kuipata popote ulipo Tanzania.
Mawasiliano: 0718 257680
Mkuu, we unanunua picha ya PC? Kwa anaehitaji ashanielewa....sema wewe unamalizia bando lako endelea kudeka hapo hapo.weka picha humu mkuu
yeah...ni DuoProcessor ni duo au vinginevyo?
si umenitumia picha P.M au unataka kutapeli Watanzania wenzako bossHiyo Crack umeiona ya m-zazi wako wa kik.e?
tatzo mmezoea kuuza mbuz kwenye gunia...hv ukiweka picha ya hyp pc kweny huu uzi huoni utakuwa umemrahisisshia mteja ????? kuliko tuanze kusumbuana huko halafu kitu sijakipenda..watanzania mmezoea kuzungushana zungushana tuuuuuuuuuMkuu, we unanunua picha ya PC? Kwa anaehitaji ashanielewa....sema wewe unamalizia bando lako endelea kudeka hapo hapo.
Hata nikiweka picha hapa ni kazi bure tu maana ni lazima anaetaka kununua aone picha nyingi na halisi. Na baadaye atume mtu wake anayemwamini aje kuona kama yeye atakuwa mbali au aje mwenyewe aone na aridhike na bidhaa. Kwa upande wangu nataka mnunuzi aje ofisini kwangu ili ku-guarantee security and quality in either way.tatzo mmezoea kuuza mbuz kwenye gunia...hv ukiweka picha ya hyp pc kweny huu uzi huoni utakuwa umemrahisisshia mteja ????? kuliko tuanze kusumbuana huko halafu kitu sijakipenda..watanzania mmezoea kuzungushana zungushana tuuuuuuuuu
Arrogancy!..... Hapo utakuta hata simu unayotumia umepewa na dada aloachiwa na mmewe tena Tecno P5. Sasa unavoleta mbwembwe wakati umekalia sofa za shemeji yako dunia nzima inakuonea huruma tu.HP620 pentium PC toleo la 2013 leo uuze 350 mkuu tena used?
Sahivi tuko kwenye SSD tushaachana na ma HDD pc mzigo hio kwa ushauri kula 200 kwa ndezi itoke chap ila kwa mjanaja kama mimi utakula 100 tu tena kama nakusaidia tu!
HP 620Kampuni gni
Hujui biashara acha wenge mzae!Arrogancy!..... Hapo utakuta hata simu unayotumia umepewa na dada aloachiwa na mmewe tena Tecno P5. Sasa unavoleta mbwembwe wakati umekalia sofa za shemeji yako dunia nzima inakuonea huruma tu.