Pc inanizingua naombeni msaada

Nisha-solve tatizo kaka ila ushauri wako utawasaidia wengine wenye tatizo kama hilo

@ Devuquarter;
Aisee kwa fundi wa kawaida Dar... unge acha angalau Hamsini elfu na baada ya uzushi mwingi!
Yup ikipungua unagongwa 45, kavu kavu
ushapigwa changa la mdomo so hupati hata ya soda.
Davinoooo ebunjoo unaitwa huku
Hivi we mgeni nini humu?
Kwa taarifa yako humu tunasaidiana kwa jua na mvua ikibidi kuchangia chochote tunaambizana so usituletee mambo ya Face Book humu

si ombi hel4......
:heh:
Mpashe huyo kaka:yo:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…