laptop yako ni aina gani ni DELL ?
ushauri kwanza fungua check HDD kama ipo connected vizuri sababi kwa maelezo yako ni kwamba hapo HDD haijasoma eidha imetochomoka au BIOS setup settong zimezingua
Kuokoa docs...chomoa hdd ifunge kama external ktk pc nyingine...then hamisha files...HDD ipo sawa kabisa, sema haiBoot kwenda kwenye windows. Ni kama windows imecolapse. Naweza kufanya nn kuhusu BIOS setup labda inaweza kusaidia
umejuaje kama ipo sawa wakati umeandika inasema HARD DRIVE IS NOT INSTAREDHDD ipo sawa kabisa, sema haiBoot kwenda kwenye windows. Ni kama windows imecolapse. Naweza kufanya nn kuhusu BIOS setup labda inaweza kusaidia
umejuaje kama ipo sawa wakati umeandika inasema HARD DRIVE IS NOT INSTARED
hujanijibu ni brand gani mana dell zina mchezo ukitoa kitic HDD haisomi
au lah Check Bios pengne imejidefault kwenda UEFI Boot mode sasa change iwe legacy BIOS boot mode ili ione mfumo wa MBR wa HDD yako