Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,182
Wakuu,
Nauza Laptop aina ya ACER Extensa 5620Z.
Nilikuwa nikiitumia sana kwa shughuli za kuchapia kazi za Microsoft Office.
Kwa kuwa ina storage ndogo, naiuza ili hiyo hela niongezee nikanunue PC ingine.
-RAM 2 GB,
-Hard Disk (60 GB).
Mapungufu yake
(Msema kweli ni mpenzi wa Mungu):
1. Inatumia External Mouse tu (inbuilt mouse ina-stuck na sijawi kuipeleka kwa fundi).
2.Betri yake haikai na chaji (hivyo haitakiwi iwe mbali na umeme).
3.Sio ya kisasa (ni toleo la zamani, nati 1 imefunguka pembeni),
Ila ni imara sana (very durable indeed), kwani inapiga kazi muda wote na haisumbui.
Naiuza kwa 120,000/= tu.
Mawasiliano: 0786737923
Nimefanikiwa kuzi_upload picha,
Zipo kwenye post #10.