Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 536
- 877
Amezeeka Hana jinsi tenaFacial expression...hafurahii kuwa monako
Binadamu sio watu wazuri halafu kibaya zaidi ni nduguKuzaliwa africa tabu tupu ,walitaka kumpoteza jamaa katika ramani za dunia
Alipatwa na nini?Naona Kwa aliyopitia kupata timu kama As Monaco bado ni heshima kwake.
Ni timu kubwa pale France
Alifungiwa Kwa misimu kadhaa, baada ya yeye kutumia dawa za kusisimua misuli Jambo ambalo ni kosa kisheria.Alipatwa na nini?
Kama hashimu thabit tu. Wenzake wanafanya mazoezi yye anakuja kwenye fiesta bongoNaona Kwa aliyopitia kupata timu kama As Monaco bado ni heshima kwake.
Ni timu kubwa pale France