Paua kwa bati halisi na bei za kiwanda

uta

Member
Joined
May 1, 2012
Posts
54
Reaction score
24

Jipatie mabati kwa bei ya kiwanda
Tuna aina zote za mabati karibu ujionee tofauti kwa bei za kiwandani
Migongo midogo za rangi
28gauge 9000/m,30gauge 8000/m

Migongo mipana
28gauge 9500/m,30gauge 8500/m

Versatile/lugoba
28gauge 12500/m,30gauge 11,500/m

Kofia/valley
12000/piece

Misumali ya mabati kwa rangi ya bati
9000/kg
 
Ukitazama nyumba nyingi zilizoezekwa kwa bati za rangi, ikipita miezi sita mabati yanapauka vibaya sana; sijui bati zako nazo ni shida hiyo hiyo au zina viwango mkuu
 
Ukitazama nyumba nyingi zilizoezekwa kwa bati za rangi, ikipita miezi sita mabati yanapauka vibaya sana; sijui bati zako nazo ni shida hiyo hiyo au zina viwango mkuu
Nilikua na hilo dukuduku ila nimeona warranty 5-10 years, sijui inahusisha na rangi? Acha mtaaluma ajibu tutulize kiu zetu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…