wewe umepungukiwa nini hadi uhitaji partner?naitaji mtu seriously mwaminifu ambae yupo tayari to fanye biashara pamoja, yaan partnership.
Kuanzia mwezi 5 eneo liwe Dar salaam, kwa sas sipo Tanzania ila natarajia kurud baada ya miez 4 kama upo tayari karib inbox.
Idea za biashr lonazo ni
1.Kampun ya kuuza na kusambaz nafaka.
2. Duka la hardware.
maji = mtaji* πHuyo patnee unamuhitaji wa nini mkuu. Kusimamia biashara au kuchangia maji
Kuwa open zaidi
Usiku wa manane huu ππ. Shukrani mkuu, nimesharekebishamaji = mtaji* π
Sijawah fanya biashra kwaiy tukishare capital itakua vizur maan mam itaitaj mtaj let say 20m apo kila mtu atatoa 10m kuliko kua mwenyew risk inakua nikubw mkiwa wawil atleast nawewe umepungukiwa nini hadi uhitaji partner?
Kuchangia mtaji kakaHuyo patnee unamuhitaji wa nini mkuu. Kusimamia biashara au kuchangia mtaji
Kuwa open zaidi
KabsaKAZI ni kipimo cha utu
Kuchangia mtaj ila pia kam akiitaj tusimamie wote kw pamoja ni jambo zur zaidKuchangia mtaji kaka
Na mfano idea ya pil hardware inaitaj capital ndefu kidg peke yang zitowez.Sijawah fanya biashra kwaiy tukishare capital itakua vizur maan mam itaitaj mtaj let say 20m apo kila mtu atatoa 10m kuliko kua mwenyew risk inakua nikubw mkiwa wawil atleast na
Sina location nilisem naitaj partnership tuanze pamojKwan huko dar Hakuna hardware au unalocation yako tayari?