"THE NETWORK" Tunaleta huduma mikononi mwako.
Habari wakuu..!
katika pitapita za kimaisha nmekutana na hali ambazo ninakuwa na uhitaji wa kupata huduma flani kwa haraka pasipo kujua jinsi gani naweza kupata au kutimiza hitaji langu kwa wakati. Kuna nyakati nmekuwa nkikutana na post za watu katika mitandao ya kijamii wakiulizia au kuhitaji huduma flani eneo flani bila ya mafanikio.
Hali hii imenisukuma kuanzisha mfumo huru ambao utamuwezesha muhitaji kupata huduma ya uhakika kwa wakati..
Mfumo huu utatumia simu, mitandao ya kijamii na maongezi ya ana kwa ana kati ya mtoa huduma na mpokeaji kama njia za mawasiliano ili kuunganisha wahitaji na mahitaji yao..
mfumo huu utajumisha huduma zote unazohisi una uhitaji nazo.. baadhi ya huduma zitakazotolewa kwenyekwenye mfumo huu ni kama ifuatavyo..
1. Huduma za usafirishaji.
Hii itajumuisha uwanja mzima wa kusafiri na kusafirisha. mfano. mtu anapohitaji kutuma mzgo wake kutoka eneo moja kwenda lingine mfumo huu utamsaidia kutimiza haja hake kwa uaminifu na uhakika zaidi. Hii iko hivi, kutakuwa na mawakala wa kuaminika kila mkoa ambao kazi yao ni kulink mizogo inayotumwa na inayopokelewa, na kwa kiwango cha juu kuhakikisha mzigo unamfikia mlengwa bila wasiwasi wala ubabaishaji.
Pili, kuhusu huduma za usafiri, mfano mtu unaposafr na kufika usiku unapokwenda au pia unapokuwa mgeni wa eneo flani, mfumo utakuwezesha kupata usafiri wa uhakika na kufika unapohitaji.
2. Huduma za chakula na vinywaji.
Hapa tutahakikisha upatikanaji wa huduma iliyo bora katika eneo tajwa. Je, wewe ni mgeni na unahtaji kujua wapi utapata chakula au vinywaj?, Je, unahtaji huduma ya chakula kwenye shughuli yako,mf. harusi, msiba n.k? Je, unataka kujua wapi utakwenda kupumzika na kupata kinywaji baridi? mfumo huu utakupatia unachohtaji bila kusita.
3. Huduma za malazi.
Je, unahtaji mahali pa kupumzika mf. hotel, lodge n.k? wakati wa weekend au kama ww ni mgeni wa eneo flani mfumo huu utatimiza hitaji lako kwa wakati na kwa uhakika.
4. Huduma za mauzo na manunuzi.
Je, unauza au kuhitaji kununua bidhaa gani?, mfumo huu utakuunganisha na mteja wako ndani ya muda mfupi bila kusita na utapata huduma safi.
5. Huduma za upangaji, upangishaji na ukodishaji.
Je, unahitaji nyumba ya kupanga au unahtaji mpangaji? Unahitaji frem kwa ajili ya biashara? je, unakodisha shamba n.k? mfumo utakupa unachohitaji popote ulipo..
6. Huduma za mapambo.
Hii itatoa fursa kwako mpambajia au muhitaji wa mapambo kutao/kupata huduma katika matukio mbalimbali, pia itahusisha huduma za upigaji picha katika matukio.
7. Huduma za ujenzi.
Hii itajumuisha eneo zima la ujenzi kuanzia vifaa, mafundi na tenda za ujenzi. utapata huduma safi kila unapohitaji
8. Huduma za ujasiriamali.
je ww ni mjasiriamali na unahtaji kusaidiwa upatikanaji wa bidhaa? mfumo utakuunganisha na hitaji lako mf.utaunganishwa na mkulima wa mazao unayohtaji.
9. Huduma za kiafya.
Unahtaji huduma yoyote ya kiafya au kuunganishwa na mtoa huduma ya afya? mfumo utakupa nafasi ya kupata unachotaka..
Hayo ni baadhi tu, kuna mengine mengi.
Ili kutekeleza hili, kwa sasa nipo kwny hatua ya kuunda network ya kutoa huduma stahiki. wahusika ni mtu yeyote anayehisi kwa namna moja ama nyingne anahusika na huduma flani.
Pia ntahtaji teamwork, hapa nahtaj wawakilishi kwa kila mkoa.
"THE NETWORK " Tunaleta huduma mikononi mwako.
karibuni nyote.
updates zitafuata hapa chini...