amon jason Senior Member Joined May 13, 2013 Posts 125 Reaction score 4 Jun 25, 2013 #1 pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. . epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE. 0713507487 0767507487 0782898210 Attachments uploadfromtaptalk1372184786418.jpg 32.1 KB · Views: 73 uploadfromtaptalk1372184806981.jpg 6.8 KB · Views: 200 uploadfromtaptalk1372184830825.jpg 3.5 KB · Views: 204
pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. . epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE. 0713507487 0767507487 0782898210
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,336 Jun 26, 2013 #2 amon jason said: pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. . epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE. 0713507487 0767507487 0782898210 Click to expand... mkuu hizo ni tiba za magonjwa gani?zinatengenezwaje bila kemikali?nasubiri jibu lako ndugu
amon jason said: pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. . epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE. 0713507487 0767507487 0782898210 Click to expand... mkuu hizo ni tiba za magonjwa gani?zinatengenezwaje bila kemikali?nasubiri jibu lako ndugu
Mrimi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 1,691 Reaction score 641 Jun 26, 2013 #3 Mtende said: mkuu hizo ni tiba za magonjwa gani?zinatengenezwaje bila kemikali?nasubiri jibu lako ndugu Click to expand... Unadhani hata anajua maana ya hiyo kemikali basi! But,funny enough,atapata wateja. Bongo bwana,kila mtu msanii..
Mtende said: mkuu hizo ni tiba za magonjwa gani?zinatengenezwaje bila kemikali?nasubiri jibu lako ndugu Click to expand... Unadhani hata anajua maana ya hiyo kemikali basi! But,funny enough,atapata wateja. Bongo bwana,kila mtu msanii..
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Jun 27, 2013 #4 1. Wewe ni nani? 2. Uko wapi? 3. Unatibu na kukinga magonjwa yapi? 4. Una dawa za aina gani?. NB.TUAMBIE Wewe kama ni tapeli na kwann hukutoa maelezo yanayojitosheleza?
1. Wewe ni nani? 2. Uko wapi? 3. Unatibu na kukinga magonjwa yapi? 4. Una dawa za aina gani?. NB.TUAMBIE Wewe kama ni tapeli na kwann hukutoa maelezo yanayojitosheleza?
M Mgaya.com Member Joined Jun 13, 2013 Posts 91 Reaction score 25 Jun 29, 2013 #5 Huu ni wizi! Hamna dr hapo!
Hayajamani JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 883 Reaction score 272 Jun 29, 2013 #6 vifaa na bidhaa zilizopo hapo kwenye picha ni kemikali tupu, labda kama kuna def kinyume chake......kamari kwenye afya...
vifaa na bidhaa zilizopo hapo kwenye picha ni kemikali tupu, labda kama kuna def kinyume chake......kamari kwenye afya...