Emory Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 492
- 630
pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na ukaagiziwa simu uitakayo na utaipata ndani ya siku zisizozidi nne.
samsung s1-240000
samsung s2-270000
samsung s3-340000
samsung s4-590000
samsung s5-997000
samsung note2-420000
samsung note3-820000
htc one -710000
mambo yote yanakamilika ofisini na sio mtaani
S3 ni 340,000/=?
Kwann iwe cheap hivi?
Au ndo zile copy mnazouzia watu mkijifanya ni used!!!!!
pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na ukaagiziwa simu uitakayo na utaipata ndani ya siku zisizozidi nne.
samsung s1-240000
samsung s2-270000
samsung s3-340000
samsung s4-590000
samsung s5-997000
samsung note2-420000
samsung note3-820000
htc one -710000
mambo yote yanakamilika ofisini na sio mtaani
Je Galaxy note 1 bei gani?
very reasonable and affordable price. ofa ni ya siku ngapi boss?
Ofcoz reasonable maana kuna mtu humuhumu JF yeye hiyo s3 anauza 470.
Wakuu samahani kidogo. Hivi wapi naweza pata Nokia N96 (mpya) na kwa bei gani?
Mkuu ngoja nikuchekie bei yake then iˊll inform you sababu nokia sijauza mda mrefu
Mkuu ngoja nikuchekie bei yake then iˊll inform you sababu nokia sijauza mda mrefu
Mimi naomba unipe bei ya hizi simu kama unazo sababu mwisho wa mwezi huu ntanunua simu naweza kuwa mteja wako mkuu.Mkuu ngoja nikuchekie bei yake then iˊll inform you sababu nokia sijauza mda mrefu
Mimi naomba unipe bei ya hizi simu kama unazo sababu mwisho wa mwezi huu ntanunua simu naweza kuwa mteja wako mkuu.
Samsung galaxy SIII mini na
Htc one X
mkuu tecno phantoom z bei gani