William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Njoo whatsapp 0652971495Natafuta J7 Bei unayo? na ni Bei gani?
Ndio ni nafuuHuyo 1.78m nayo iko kwa category ya 'nafuu?'
Mfanya biashara hajifichi.....huweka huduma/bidhaa yake wazi kwa wote....sasa kila mtu aje huko watsapp huoni kuna shida hapo? Kama umeamua kujitangaza hapa weka kila kitu hapa huko watsapp tunaweza tukaanza kuhisi kuna kitu kinaendelea......Njoo whatsapp 0652971495
Sawa mkuu nimekuelewaMfanya biashara hajifichi.....huweka huduma/bidhaa yake wazi kwa wote....sasa kila mtu aje huko watsapp huoni kuna shida hapo? Kama umeamua kujitangaza hapa weka kila kitu hapa huko watsapp tunaweza tukaanza kuhisi kuna kitu kinaendelea......
Simu za Windows phone kwa sasa bado ila bei zake zikiwa tayari nitaanzisha uzi wakeMicrosoft 640 Tsh. Ngapi?
Okay.Simu za Windows phone kwa sasa bado ila bei zake zikiwa tayari nitaanzisha uzi wake
Mfanya biashara hajifichi.....huweka huduma/bidhaa yake wazi kwa wote....sasa kila mtu aje huko watsapp huoni kuna shida hapo? Kama umeamua kujitangaza hapa weka kila kitu hapa huko watsapp tunaweza tukaanza kuhisi kuna kitu kinaendelea......
Kuna yule jamaa alieuza gari kwa 1,800,000 bonge la transparentMfanya biashara hajifichi.....huweka huduma/bidhaa yake wazi kwa wote....sasa kila mtu aje huko watsapp huoni kuna shida hapo? Kama umeamua kujitangaza hapa weka kila kitu hapa huko watsapp tunaweza tukaanza kuhisi kuna kitu kinaendelea......
NdioKweli hizo simu ni za 'bei nafuu'
Biashara ya uhakika sio kutuonyesha mabox.... Trust goes beyond that[emoji117]hii ni biashara ya uhakika mkuu hizo simu zimeshanunuliwa zitatumwa tz wiki hii
Sawa mkuu nimekuelewaBiashara ya uhakika sio kutuonyesha mabox.... Trust goes beyond that[emoji117]
Watu wanaogopa Kutapeliwa Labda Mkuu.Sawa mkuu nimekuelewa
Kuna kingine nikuonyeshe
Sio utapeli huuWatu wanaogopa Kutapeliwa Labda Mkuu.