rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Sep 3, 2014 #1 Tunachora ramani za nyumba na kup ushauri wa ujenzi tutafute kwa 0714155854 kwa mawasiliano
F Felix JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 903 Reaction score 797 Sep 3, 2014 #2 Duuu ngoja nizitafute hela mimi nitawatafuta kweli hii nyumba ina ramani nzuri. lakini kweli raman hii mmechora wenyewe au mmegoogle tu?
Duuu ngoja nizitafute hela mimi nitawatafuta kweli hii nyumba ina ramani nzuri. lakini kweli raman hii mmechora wenyewe au mmegoogle tu?
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,082 Sep 3, 2014 #3 Unayo ramani vyumba 3 vya kulala ya kujenga kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 26 kwa 16 iliyoidhinishwa na engineer wa manispaa.
Unayo ramani vyumba 3 vya kulala ya kujenga kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 26 kwa 16 iliyoidhinishwa na engineer wa manispaa.
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,917 Reaction score 2,142 Oct 13, 2014 #4 bei gani
rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Oct 13, 2014 Thread starter #5 High Vampire said: bei gani Click to expand... Nicheki kwenye simu au nipm
rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Oct 13, 2014 Thread starter #6 Asante said: Unayo ramani vyumba 3 vya kulala ya kujenga kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 26 kwa 16 iliyoidhinishwa na engineer wa manispaa. Click to expand... Ipo na kuhusu uidhinishaji . Kila mtu anaidhinishiwa ramani yake na halmashauri husika kulingana na plot occupancy na vigezo.
Asante said: Unayo ramani vyumba 3 vya kulala ya kujenga kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 26 kwa 16 iliyoidhinishwa na engineer wa manispaa. Click to expand... Ipo na kuhusu uidhinishaji . Kila mtu anaidhinishiwa ramani yake na halmashauri husika kulingana na plot occupancy na vigezo.
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,917 Reaction score 2,142 Oct 13, 2014 #7 rasdavy said: Nicheki kwenye simu au nipm Click to expand... mkuuu sunaongea tu bei ili nikija PM tumeshamaliza
rasdavy said: Nicheki kwenye simu au nipm Click to expand... mkuuu sunaongea tu bei ili nikija PM tumeshamaliza
rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Oct 13, 2014 Thread starter #8 High Vampire said: mkuuu sunaongea tu bei ili nikija PM tumeshamaliza Click to expand... We unahitaji kazi ya chumba ngapi na ukubwa gani?
High Vampire said: mkuuu sunaongea tu bei ili nikija PM tumeshamaliza Click to expand... We unahitaji kazi ya chumba ngapi na ukubwa gani?
HIMLER JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 429 Reaction score 227 Oct 14, 2014 #9 rasdavy said: Tunachora ramani za nyumba na kup ushauri wa ujenzi tutafute kwa 0714155854 kwa mawasiliano View attachment 182512View attachment 182514 Click to expand... hiii ina vyumba vingapi na unaikadiria gharama yake kiasi gani kwa dsm Attachments 1413261204671.jpg 106.5 KB · Views: 181
rasdavy said: Tunachora ramani za nyumba na kup ushauri wa ujenzi tutafute kwa 0714155854 kwa mawasiliano View attachment 182512View attachment 182514 Click to expand... hiii ina vyumba vingapi na unaikadiria gharama yake kiasi gani kwa dsm
rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Oct 14, 2014 Thread starter #10 HIMLER said: hiii ina vyumba vingapi na unaikadiria gharama yake kiasi gani kwa dsm Click to expand... hiyo ni vyumba vitatu mkuu, kwa makadirio inaweza ikacheza kwenye 35m to 40 kulingana na material yaliyotumika otherwise mpaka tucalcute
HIMLER said: hiii ina vyumba vingapi na unaikadiria gharama yake kiasi gani kwa dsm Click to expand... hiyo ni vyumba vitatu mkuu, kwa makadirio inaweza ikacheza kwenye 35m to 40 kulingana na material yaliyotumika otherwise mpaka tucalcute
rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Oct 14, 2014 Thread starter #11 https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=740562
HIMLER JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 429 Reaction score 227 Oct 14, 2014 #12 rasdavy said: hiyo ni vyumba vitatu mkuu, kwa makadirio inaweza ikacheza kwenye 35m to 40 kulingana na material yaliyotumika otherwise mpaka tucalcute Click to expand... ukiweka ramani jaribu kuweka na makdirio kabisa
rasdavy said: hiyo ni vyumba vitatu mkuu, kwa makadirio inaweza ikacheza kwenye 35m to 40 kulingana na material yaliyotumika otherwise mpaka tucalcute Click to expand... ukiweka ramani jaribu kuweka na makdirio kabisa
rasdavy Member Joined Jun 23, 2012 Posts 84 Reaction score 14 Oct 14, 2014 Thread starter #13 HIMLER said: ukiweka ramani jaribu kuweka na makdirio kabisa Click to expand... Nitafanyia kazi ushauri wako shukran
HIMLER said: ukiweka ramani jaribu kuweka na makdirio kabisa Click to expand... Nitafanyia kazi ushauri wako shukran