yanini ujenge bila mpangilio na kusumbuka kwa ukalabati wa mara kwa mara katika nyumba yako.
kwa kulijua hilo tutakutatulia usumbufu wa dhahama zote hizo
piga 0624084819 sasa kwa ramani za
NYUMBA
LODGE
SUPER MARKET
MADUKA
na mengineyo mengi bei ni yakawaida kabisa
Raman ya kagofa kamoja kakiana kenye frem 3 za maduka zenye SM up240 na ur 240 pia kwa nyumba kuwe na chumba kiomoja selfu cha up sm 240 na ur 390 pia na sebule yenye up sm 240 ur 390 ju iwe na vyumba 4 vya kulala selfu hata vidogo vidogo siyo mbaya na frem 1 ya duka yenye up 240 ur 240 .mkuu naomba uniambie utanicholea hiyo laman kwa bei.