mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Mar 8, 2013 #1 nauza regulators za kwenye mitungi ya gesi kwa bei poa. Piga namba 0753055509
king khalfan Member Joined Feb 5, 2013 Posts 70 Reaction score 21 Mar 8, 2013 #2 Biashara matangazo! Ss unaposema tu kwa kifupi wengine hatutosheki. Sema aina, bei na ikibidi hata pivha uweke uone cm zitakavyomiminika kwk
Biashara matangazo! Ss unaposema tu kwa kifupi wengine hatutosheki. Sema aina, bei na ikibidi hata pivha uweke uone cm zitakavyomiminika kwk
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,421 Reaction score 8,362 Mar 8, 2013 #3 mwambadog said: nauza regulators za kwenye mitungi ya gesi kwa bei poa. Piga namba 0753055509 Click to expand... Bei poa shilingi ngapi? Ongeza maelezo zaidi kwenye tangazo lako
mwambadog said: nauza regulators za kwenye mitungi ya gesi kwa bei poa. Piga namba 0753055509 Click to expand... Bei poa shilingi ngapi? Ongeza maelezo zaidi kwenye tangazo lako
Poxino JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 727 Reaction score 53 Mar 8, 2013 #4 MWISHOE wateja inakua ngumu oho sipati weka bei kwmfano mtungi wa kg 5 bei kaza nakuendelea au unapenda uonekane uko bize na simu kwakulizwa bei
MWISHOE wateja inakua ngumu oho sipati weka bei kwmfano mtungi wa kg 5 bei kaza nakuendelea au unapenda uonekane uko bize na simu kwakulizwa bei
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Mar 10, 2013 Thread starter #5 king khalfan said: Biashara matangazo! Ss unaposema tu kwa kifupi wengine hatutosheki. Sema aina, bei na ikibidi hata pivha uweke uone cm zitakavyomiminika kwk Click to expand... bei 21,000 kwa jumla. Kama unata chache kama mbili au tano ni 23,000 unaletewa ulipo piga namba 0753055509
king khalfan said: Biashara matangazo! Ss unaposema tu kwa kifupi wengine hatutosheki. Sema aina, bei na ikibidi hata pivha uweke uone cm zitakavyomiminika kwk Click to expand... bei 21,000 kwa jumla. Kama unata chache kama mbili au tano ni 23,000 unaletewa ulipo piga namba 0753055509
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Mar 10, 2013 Thread starter #6 Poxino said: MWISHOE wateja inakua ngumu oho sipati weka bei kwmfano mtungi wa kg 5 bei kaza nakuendelea au unapenda uonekane uko bize na simu kwakulizwa bei Click to expand... mkuu nauza ragulator za gesi namaanisha zinazoonesha ges iliomo kwa mtungi au ilio tumika bei kwa jumla ni 21,000 na rejareja 23,000 karibu sana mkuu tupeane riziki
Poxino said: MWISHOE wateja inakua ngumu oho sipati weka bei kwmfano mtungi wa kg 5 bei kaza nakuendelea au unapenda uonekane uko bize na simu kwakulizwa bei Click to expand... mkuu nauza ragulator za gesi namaanisha zinazoonesha ges iliomo kwa mtungi au ilio tumika bei kwa jumla ni 21,000 na rejareja 23,000 karibu sana mkuu tupeane riziki
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Mar 10, 2013 Thread starter #7 king khalfan said: Biashara matangazo! Ss unaposema tu kwa kifupi wengine hatutosheki. Sema aina, bei na ikibidi hata pivha uweke uone cm zitakavyomiminika kwk Click to expand... bei 21,000 kwa jumla. Kama unata chache kama mbili au tano ni 23,000 unaletewa ulipo piga namba 0753055509
king khalfan said: Biashara matangazo! Ss unaposema tu kwa kifupi wengine hatutosheki. Sema aina, bei na ikibidi hata pivha uweke uone cm zitakavyomiminika kwk Click to expand... bei 21,000 kwa jumla. Kama unata chache kama mbili au tano ni 23,000 unaletewa ulipo piga namba 0753055509