Pata mitungi ya Mihan Gas

Mtungi wa 15kg unauza bei gani? Unapatikana sehemu gani?
 
Mi nilipewa Zawadi kwenye Arusi mtungi wa Mihan ulinisumbua kweli kupata kichwa hadi nkaubadili vp hii ya Sasa hivi Ina vichwa vyake?
 
Jaman mm naomben nipewe tofaut Kat ya Oryx na mihan gas? Ip n bora zaid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…