Kwa hiyo ulikuwa unatomba, unakojolea humo humo ukidhani unatengeneza milkshake au?
Lazma mshikiliwe kidede muoe, kama she is not good enough don't take her to bed
At the end of the day nyote wawili mnaweza kuchagua kutulia mtengeneze maisha au kurukaruka kwa kisingizio mimba haikupangwa
Hiyo mimba ni mpango wa Mungu na kumuoa ni mpango wake pia. Wangapi wanapata miscarriages, wangapi wanakaa kwenye ndoa hawapati watoto, ni still birth ngapi zinatokea, ni watoto wangapi wanakuwa aborted???
Kwa nini wa kwenu Mungu amuweke hai