Pata mimba uolewe

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Ni bonge La Mbinu Liliobuniwa Na wanawake
wachache Wanaopenda Ndoa ..Hii Mbinu Imezaa Ndoa
Nyingi Ambazo Hazijatoka Kwa Mungu ila Zimetoka
Kwa Mjamzito Mwenyewe..
Sawa Tunajua Mnapenda Kuvaa Pete..Mnapenda Kuitwa Muke Wa...Mnapenda Matarumbeta Na kwaito
Siku Ya harusi....
Leo Utajiona Mjanja Umewin..Umemtegea Kijana
Akakupa Mimba Alafu Akakuoa....Lakini Jua Siku Ya
Kupewa Taraka ,Mashost Hawa hawa waliochekelea
ulivyomkomesha mshkaji kwa kumtegeshea ndo watakuwa wakwanza kusambaza ujumbe kwenye
WASAPU...kwamba "shost shuzi la ndoa limemshinda
alidhani ndoa ni vinyweleo vinaota tu"
Ndoa Haina matarumbeta...acha iletwe na mungu sio
na mbegu za kiume..
 
Ata ikitoka kwa Mungu inaweza kuvunjika kwani we hujui shetani kazi yake nin duniani
 
Kuna kiumbe kaniganda hyo nimepiga ikakaa.. Akatulia nimegundua baadae kama miez 3 basi kajifungua mtoto mm nalea mtoto tuu ila yy mda wote anawaza ndoa kwenye akili yangu neno ndoa bado hata sijalifikiria.a
 
Ndoa ni nzuri-wengi wetu tunaitaka kwa madhumuni ya kusettle na kuwa stable kihisia na kimaisha.

Kama hutaki kuoa mwambie tu bidada mi sina mpango wa kuoa wala kupata mtoto. Kama unataka mchezo njoo tucheze with no strings attached.

Sasa wewe kila siku I love you kibao, unamuaminisha kwa story tamu za kujenga familia, mnaitana wife and hubby, baba watoto na mama watoto; dada anajiachia, kitumbo kinajaa, unaanza kuruka vihunzi.
 
Eti mbegu za kiume
 
Kwa mwanamke mjanja na mwenye akili timamu hawezi fanya kitu kama hichi koz mwisho wa huu mpango mbovu ni kuja kulia mchana na usiku kuwa msela haeleweki mara ana week haja rudi home mara simu yake ina password kila kona mara hanipi unyumba etc. In short hizo ni short term plans
 
Ndoa nyingi zilizofungwa sababu ya mimba hazidumugi.. Umefyatua mwanaume hana 50 na wewe mnaishi tu kama ma housemates. Mwisho wa siku unasema enough is enough unafunga virago huku unajuta why nilishika mimba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…