Pata magari kwa bei poa!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694

Toyota Ist.
Habari jipatie magari mazuri kutoka Japan na ndani ya nchi,Kama hilo hapo juu lipo Japan gharama ya jumla ya kununua na kulisafirisha mpaka hapa nchini ni 5.5mil,utalipia mwenyewe kodi likifika hapa nchini!,kwa Maelekezo zaidi kwa walio serious ni pm!
 
Pigia hesabu mwenyewe ya kodi itacost kiasi gani
 
Fafanua ulipaji wake wa kodi likifika hapa
Likifika hapa linaweza likakugharimu 8mil malipo ya kodi na vitu vingine,ina maana unahitaji jumla kama 13.5mil,ili uweze kulimiliki mkononi!,ulipaji wa kodi hutegemea hiyo gari ni ya aina gani?,imetengenezwa lini?na ina thamani gani kwa hiyo hubadilika kutegemeana na gari!
 
Kwa mtindo huo kodi itatushinda,kumbe magari ni bei rahisi ivyo,
 
Kuna gari nissan march inauzwa dola kumi na tisa (us$19) ipo kobe japan
Mpaka naichukua nitakuwa nimelipa sh ngapi?
Ni ya 2002 cc 1240
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…