Pata mabati bora ya rangi

Pata mabati bora ya rangi

mnyafigulu

Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
29
Reaction score
10
Pata mabati bora ya rangi kutoka ANXINFA BUILDING MATERIALS
GAGE30 sh. 21,000/pc sh. 7,500/mita
GAGE28 sh.27,000/pc sh. 9,500/mita
VESSAL sh. 12,000/mita
MISUMARI sh. 9,000/kilo
KOFIA(G. 30)sh.10,000
KOFIA(G. 28)sh.12,000

O714573462 tupo tabata
IMG_20180430_162906.jpg
IMG-20180427-WA0006.jpg
IMG-20180409-WA0016.jpg
IMG-20171126-WA0046.jpg
IMG_20180327_175100_1.jpg
IMG-20171126-WA0065.jpg
 
naomba kuuliza kuhusu bati za adro (adro roofing products).. wanauza sh 12,500 kwa mita za gauge 28... bei yao ipo juu sana naomba kuuliza kuhusu ubora wake na kupauka...
 
Mm mi hesabu zimenichanganya asee ufafanuzi pleaseeee

Umesema gauge 30 =21000pc hii 7500 ni nini tena ??
 
Mm mi hesabu zimenichanganya asee ufafanuzi pleaseeee

Umesema gauge 30 =21000pc hii 7500 ni nini tena ??

7500 kwa kila mita moja...kwahiyo bati lote lina mita 3..ukizidisha mara tatu unapata 22500...hiyo 21000 atakuwa amekosea au ni bei ya jumla
 
naomba kuuliza kuhusu bati za adro (adro roofing products).. wanauza sh 12,500 kwa mita za gauge 28... bei yao ipo juu sana naomba kuuliza kuhusu ubora wake na kupauka...

Mabati ya Ando ni mazuri na hayapauki au kumeguka rangi !
 
mkuu umeweka alama ya ulizo!!! sijakuelewa...nipe maelezo kidogo kuhusu mabati ya Ando,,,

Usitie shaka ni alama ya mshangao. Hata hivyo yana sifa kama nilivyokueleza na mimi mwenyewe nimeyatumia . Ingia kwenye website ya kwa maelezo zaidi (Ando :: Home )
 
Usitie shaka ni alama ya mshangao. Hata hivyo yana sifa kama nilivyokueleza na mimi mwenyewe nimeyatumia . Ingia kwenye website ya kwa maelezo zaidi (Ando :: Home )
ooh thanks mkuu hata mimi nimeyatumia kwenye project zangu baada ya kufanya utafiti kwa mafundi wengi, nilitaka kupata uhakika zaidi kutoka kwa wadau humu
 
naomba kuuliza kuhusu bati za adro (adro roofing products).. wanauza sh 12,500 kwa mita za gauge 28... bei yao ipo juu sana naomba kuuliza kuhusu ubora wake na kupauka...

mbona hawafahamiki hawa jamaaaa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom