KINGO PROPERTY LIMITED
Member
- May 21, 2022
- 13
- 7
Ni kidogo sanaNi Mita 12/17 Mkuu
VIWANJA BORA KWA AJILI YA MAKAZIVipo Vya Ukubwa Tofauti Mkuu Ukiwa Tayari Njoo tu Boss
Weka Bei vya Kigamboni hasa hapo Geza,Kibugumo,Bamba Beach, Mwongozo na Dege hasa kuanzia Sq1500 na kuendela.Nataka kujipima Kama naweza kuja Kigamboni.VIWANJA BORA KWA AJILI YA MAKAZI
MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO, MWONGOZO, BAMBA BEACH, GEZA, DEGE Hiyo Yote ni KIGAMBONI DSM.
Pia MVUTI Njia ya CHANIKA Hiyo Ni ILALA DSM.
KONGOWE Km1Nyuma Ya Shule Ya Msingi Mzinga Hii ni TEMEKE.
Ofisi Zetu Zinapatikana Mjimwema Garden Kigamboni Dares salaam Kwa Aboud Jumbe Simu. ,0734-406719 Na 0714-804182.
Wekeza Kwenye ARDHI Na KINGO PROPERTY LIMITED
Sisi Ni Wasukuma Ndoto.
Ina Maana Kwa Hizo Beach Plot Za Sq35000 Kwa Sq1000 Haiwezi Kupungua Kidogo Kama Ni Cash ?Kibugumo KIDETE Beach Plot Sqm@35000/=
GEZA Sqm@20000/=
Mwongozo Sqm 20000/=
Bamba beach Plot Sqm @45000/=
Dege Sqm@20000/=
Boss Wangu Hiyo 35,000 Tumezingatia Mambo Mengi Sana Lakini Kabla Sijakwambia Punguzo Au Vingine you Njoo Utembelee Mradi Kwanza Mazingira Yatesema Karibu KiongoziIna Maana Kwa Hizo Beach Plot Za Sq35000 Kwa Sq1000 Haiwezi Kupungua Kidogo Kama Ni Cash ?
Au Kwa Installment Mnapokea Pia?
Ntakuchek Weekend [emoji120]Boss Wangu Hiyo 35,000 Tumezingatia Mambo Mengi Sana Lakini Kabla Sijakwambia Punguzo Au Vingine you Njoo Utembelee Mradi Kwanza Mazingira Yatesema Karibu Kiongozi
KaribuNtakuchek Weekend [emoji120]
Nipe Bei Ya ChanikaViwanja Vyetu Vinapatikana Vianzi Ni Km5 Kutoka Vikindu Na Vimepimwa Kuanzia Sqm 204 Na Kuendelea
Pia Tuna Viwanja Maeneo Mengine Tofauti Na Bei Tofauti.
MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO, MWONGOZO, BAMBA BEACH, GEZA, DEGE Hiyo Yote ni KIGAMBONI DSM.
Pia MVUTI Njia ya CHANIKA Hiyo Ni ILALA DSM.
KONGOWE Km1Nyuma Ya Shule Ya Msingi Mzinga Hii ni TEMEKE.
Ofisi Zetu Zinapatikana Mjimwema Garden Kigamboni Dares salaam Kwa Aboud Jumbe Simu. ,0734-406719 Na 0714-804182.
Wekeza Kwenye ARDHI Na KINGO PROPERTY LIMITED
Sisi Ni Wasukuma Ndoto.
View attachment 2238221View attachment 2238224
Bei Ya Chanika Na Ukubwa Wake PlsMkuu Eneo Likishapandishwa Thamani Kwa Kupima Mpaka Kugawanywa Viwanja Haliuzwi Kwa Heka
Kwa Maana Matumizi Yake Pia Yameshabadilika
Ila Kama Unahitaji Shamba Kwa Ajili ya Kilimo Na Biashara Tutakutafutia Mazingira Sahihi Na Hitaji Laki Karibu
+255 654 475472
[emoji106][emoji106]Karibu
Chanika SQM @7000Bei Ya Chanika Na Ukubwa Wake Pls