Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Kweli unamiza kichwa kujua ni bidhaa gani anaweza ku aford Mtz???YSL ni 40,000 kweli?
Hizo lazima zitakuwa knockoffs tu.
Kweli unamiza kichwa kujua ni bidhaa gani anaweza ku aford Mtz???
handbags ya 150000+ uweke hapa si zitajaa stoo, na ndio mwanzo wa kubaki hstoria.
Pamoja kakaYSL ni 40,000 kweli?
Hizo lazima zitakuwa knockoffs tu.
Khaaaaa!Mimi mbona huwa nanunua hizo mwenyewe yeye atashindwa vipi kuninunulia?Mfyuuuu!!
Hebu nunua huko, baby huyo labda kazaliwa na kakulia nje sio tz ndio anaweza nunua hapo.
Hahahahaha!! Haya ongea nae basi mnidumishe uwepo wangu mjini.Khaaaaa!Mimi mbona huwa nanunua hizo mwenyewe yeye atashindwa vipi kuninunulia?
C'mon Apologise lady,unless hizi ziwe akili za usiku!
Mwenzio naomba Mungu apite hapa,kuomba noma 😉Hahahahaha!! Haya ongea nae basi mnidumishe uwepo wangu mjini.
Mzima lakin