I inkyzuu New Member Joined Dec 12, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Dec 13, 2014 #1 Pata handbags zenye ubora na nzuri kwa bei nafuu, wadada mnaopenda kupendeza na hata kakaz wanaopenda kuwapendezesha wapendwa wao karibuni sana,
Pata handbags zenye ubora na nzuri kwa bei nafuu, wadada mnaopenda kupendeza na hata kakaz wanaopenda kuwapendezesha wapendwa wao karibuni sana,
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,965 Dec 13, 2014 #2 Piga picha bags zako uweke humu na sema kama ni real designer bags au ni hizi za kawaida za photocopy.
Piga picha bags zako uweke humu na sema kama ni real designer bags au ni hizi za kawaida za photocopy.
Ngondombole JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 646 Reaction score 186 Dec 13, 2014 #3 inkyzuu said: Pata handbags zenye ubora na nzuri kwa bei nafuu, wadada mnaopenda kupendeza na hata kakaz wanaopenda kuwapendezesha wapendwa wao karibuni sana, Click to expand... Piga picha uweke humu tuone, pia sema uko wapi..?? Tulio huku Namtumbo tutapataje tukihitaji..?? weka mawasiliano yako kila unapotangaza biashara.
inkyzuu said: Pata handbags zenye ubora na nzuri kwa bei nafuu, wadada mnaopenda kupendeza na hata kakaz wanaopenda kuwapendezesha wapendwa wao karibuni sana, Click to expand... Piga picha uweke humu tuone, pia sema uko wapi..?? Tulio huku Namtumbo tutapataje tukihitaji..?? weka mawasiliano yako kila unapotangaza biashara.
I inkyzuu New Member Joined Dec 12, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Dec 13, 2014 Thread starter #4 Napatikana kijito nyama, kwa number 0752124732, watu wa dsm, Tanga , mwanza na bukoba itakua rahisi kuwafikia, lakini unaweza pia kusema uko wapi ili tuone posibility ya mkoba wako kukufikia, asanteni
Napatikana kijito nyama, kwa number 0752124732, watu wa dsm, Tanga , mwanza na bukoba itakua rahisi kuwafikia, lakini unaweza pia kusema uko wapi ili tuone posibility ya mkoba wako kukufikia, asanteni
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Dec 13, 2014 #5 Hebu tuione kwanza hiyo mikoba na bei zake ndio tuanze kukutafuta
I inkyzuu New Member Joined Dec 12, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Dec 13, 2014 Thread starter #6 Nashindwa kuweka picha, lakin unaweza kuona instagram account inkyzuu, nmeweka huko picha
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Dec 13, 2014 #7 inkyzuu said: Nashindwa kuweka picha, lakin unaweza kuona instagram account inkyzuu, nmeweka huko picha Click to expand... Jitahidi uweke maana sipo instagram wala whatsapp
inkyzuu said: Nashindwa kuweka picha, lakin unaweza kuona instagram account inkyzuu, nmeweka huko picha Click to expand... Jitahidi uweke maana sipo instagram wala whatsapp