Pata generator kwa bei poa

sina maana ya kuwaaribia biashara, lakini i am talking fact, na atakyetaka kuamini aje nimuoneshe, these guys are Italians, hayo majenereta wanayoyauza ni "fake" wametuuzia jenereta 1 la Honda la Kv 10 for 8000000, kuja kulipima halifiki hata 5Kvs, so guys be careful na tumeshamkamta mmoja.
 
Mkuu tunashukuru kwa taarifa lakini pia pole kwa yaliyokusibu. Mimi nimeuza magenerator mpaka kwenye mataasisi, sijaona mtu akirudi. Na nimesisitiza kuwa tunatoa guarantee ya mwaka mmoja, hatuuziani mtaani bali ni dukani. Karibuni
 

Mkuu generator unapimaje, tafadhari tushirikishe elimu hiyo
 
Karibuni kwa tangazo letu. Kwa mawasiliano zaidi piga 0773944944
 

Kama wana ofisi haina shida kwa maana unaweza kwnda na mtaalam wako akacheki, na pia lazima wakupe garantii ya say mwaka au miaka miwili, bila garantii sinunui! Halafu hao waitaliano wanaowahi ndege kila siku mbona wanajulikana sana na Noah yao au Rav4!! ilikuwaje mpaka wakawaibia milioni nane? Mtakuwa mnapenda sana mitelemko! Poleni lakini!
 

dah, we ni noma, hawa jamaa wanazingua, hizo honda siyo za japan....bora ukanunue BOSS ndo generator nzuri, angalau au honda OG
 
dah, we ni noma, hawa jamaa wanazingua, hizo honda siyo za japan....bora ukanunue BOSS ndo generator nzuri, angalau au honda OG

Wanazingua haswa, halafu wapo wengi sku hizi, wengine wanauza masufuria ya milioni wengine wanapiga watu generator fake nk, inatakiwa kuwa waangalifu sana !
 
Wadau ni kweli watu wanapigwa,shuguli hizi hatuzifanyii njiani ni duka ambalo lina uzoefu kwa mambo ya generator zaidi ya miaka 10 sasa. Tunatoa warrant ya mwaka mmoja, kwa ma generator yetu.

Lakini kuna suala hili la nafuu, mtu anakuja unamwambia Honda Japan 6.5 kva ni tsh. 5.5m na honda china 2.2m mtu anasema umpe ya china, hapa mwenye tatizo ni nani?
Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…