Pata bajaj toyo mpya t 326 cdv ya mizigo

Pata bajaj toyo mpya t 326 cdv ya mizigo

frnk

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
160
Reaction score
12
Ina mwez na nusu tu toka niinunue na haijatumika sana,
ni toyo 200cc, inafaa kwa kaz za biashara ya kubeba mizigo na inalipa pia ni imara,
sababu ya kuuza ni kwamba ninaenda masomon hivo sina usimamiz,hvo nimesita kumuachia mtu.

Bei yake ni mil.3 pia maelewano yapo kidogo.

Imesajiliwa T 326 CDV Ipo NYEGEZI MWANZA .
Wasiliana nami kwa 0719 075175.
 
Acha kuchanganya habari, hamna kitu kama bajaji toyo, bajaji ni bajaji na toyo ni toyo.
 
ni toyo subili kidogo mkuu niweke picha,
 
ina wiki tatu toka niinunue na haijatumika kabisa,
ni toyo 200cc, inafaa kwa kaz za biashara ya kubeba mizigo na inalipa pia ni imara,
sababu ya kuuza ni kwamba ninaenda masomon hivo sina usimamiz,hvo nimesita kumuachia mtu.

Bei yake ni mil.3.3 pia maelewano yapo kidogo.

Imesajiliwa t 326 cdv ipo yombo vituka.
Wasiliana nami kwa 0719 075175.

mkuu hiyo siyo bajaj.... Bali ni gutaaa.
Pia bei yako iko juu sana, maana pale kishen enterprises karikoo wanauza mpya tsh. 3,200,000/=
kama unataka 2.9 weka wazi hapa jukwaani nikutafute leoleo.

Lkn kuna uzi hapa hapa jf kwamba huko yombo kuna guta limepaki barabarani baada ya kutelekezwa na wezi waliopukutika kwa ndumba!!!!!!!!!!!!! Isije ikawa ni hili lako mkuuu??? Funguka vizuri
 
Ha haha samahani sana mimi nauza mali yangu mwenyewe ninayomilik kihalali, hyo uliosikia ni hearsay tu & hai justify kua ndo ninayoiuza mim..kama uko serious nipe mil.3 kamil kwa muda wowote ambao uko tayari picha nitaweka jion pia...Usiwe na waswas,nafanya biashara kwa kuzingatia sheria,
Kwa sababu ndio taaluma yangu,siwez uza mali ya wiz mkuu.

Karibu sana
 
mkuu hiyo siyo bajaj.... Bali ni gutaaa.
Pia bei yako iko juu sana, maana pale kishen enterprises karikoo wanauza mpya tsh. 3,200,000/=
kama unataka 2.9 weka wazi hapa jukwaani nikutafute leoleo.

Lkn kuna uzi hapa hapa jf kwamba huko yombo kuna guta limepaki barabarani baada ya kutelekezwa na wezi waliopukutika kwa ndumba!!!!!!!!!!!!! Isije ikawa ni hili lako mkuuu??? Funguka vizuri
mkuu umeninahi, ila nasubir aweke picha ili nione km linafanana na ile ambayo tuliwekewa.
 
hii ndivyo jinsi hili guta lilivo,na bodi yake ina ukubwa wa tani moja..

Karibuni sana wadau tufanye biashara.....
 
Attachments

  • toyo.jpg
    toyo.jpg
    82.4 KB · Views: 387
  • toyy.jpg
    toyy.jpg
    91.8 KB · Views: 430
wadau mlikua mnahitaj picha tayari sasa..nawasubilia wakuu..
 
Nipo yombo vituka lumo, karibu sana mkuu tunaweza kuwasiliana kupitia no.yangu ya simu au ni Pm.

hiyo bei ulotaja ni ya mpya dukani, nenda kishen (agent wa toyo) anauza toyo guta kwa 3.1 mil
kama vipi mi nikupe 2.8 mil
 
hiyo bei ulotaja ni ya mpya dukani, nenda kishen (agent wa toyo) anauza toyo guta kwa 3.1 mil
kama vipi mi nikupe 2.8 mil

Si hiyo mil.3.1 unayosema mkuu mi pia nimenunua kwa kishen,najua ukwel wa bei unaujua,..honestly kwa hyo 2.8, ningekua nimeuza mda sana.honestly bei yangu ni mil.3 kamil ndo mwisho,nimenunua wik 3 zilizopita na kama nilivotoa maelezo hailatumika kabisa zaid ya siku nilipoitoa kwa kishen ilitembea had kwangu na haijatoka tena zaid hua naiwasha tu...ongeza kidogo mkuu itakulipa hyo ndugu,isingekua mimi kwenda masomoni ingenisaidia tu kwa hapa mjin hesab yake si ndogo mkuu....karib sana tufanye biashara..
 
Back
Top Bottom