mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchunguHuku kijijini Rondo nibaridi bado.
Ngoja niandike haraka asinione.
Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu.
Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password.
(Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia akienda kuoga naipitia chaap japo yeye hajui).
Sasa leo kaenda kuoga nimeenda chapu kuikagua nimekuta imepigwa makufuli yakutosha.
Nimeshindwa kumuuliza cz anajua huwa sishiki sim yake ila ukweli nikwamba nimeumia sana.
Sasa najiuliza tunaishi wawili hapa nyumbani, password zanini?
Wasalaam!
Yaan nawaz kwel mkuuWanaume bwana!
Wanawake hatuwawezi. Ni kuishi nao kwa akili vinginevyo ni siteresi tupu mwisho ni kujiletea presha na mashambulizi ya moyo na kiharusi bila sababu.
Kama unaendesha familia yako kidikteta mwamrishe atoe password zote mara moja bila mjadala wala kuhoji. Ila kama kuna demokrasia jiandae na wewe kutoa password zako ukiombwa kufanya hivyo.
In short kaeni muongee kwa nini mnahitaji kuwa na password kwenye simu zenu. Kama mmoja tu ndiye anapaswa kufanya hivyo na kwa nini ieleweke. Sasa hivi upo hoi unadhani kuwa unachapiwa wakati mwenyewe ndo ulianzisha huo utopolo! [emoji16][emoji16][emoji16]
.ukweli mimi maisha yangu na mtu niliyenaye tukifikia hapo ni bora tuachane tu. maana huwezi niamini vyote halafu simu usiniamini
Nyuli au nywele?Huku kijijini Rondo nibaridi bado.
Ngoja niandike haraka asinione.
Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu.
Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password.
(Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia akienda kuoga naipitia chaap japo yeye hajui).
Sasa leo kaenda kuoga nimeenda chapu kuikagua nimekuta imepigwa makufuli yakutosha.
Nimeshindwa kumuuliza cz anajua huwa sishiki sim yake ila ukweli nikwamba nimeumia sana.
Sasa najiuliza tunaishi wawili hapa nyumbani, password zanini?
Wasalaam!
Mfumo dume ndio wenyeweKuendesha familia kidikteta raha sana [emoji23] imagine me sm yng ina password ila wife hazijui na anatakazijue kila siku mpk siku nyengine inakua ugomvi ndan [emoji23] na yake ina password ila zake nazijua but sipendi kufuatilia cm yake labda siku mmoja mmoja san yaaan ata ivo alinipa nimuekeee fingerprint na me nikaweka kidole chang bila ya yeye kujua mpk leo hajui so ata akibadili password natoa kwa fingerprint inatoka [emoji23]
Mfumo dume ndio wenyewe
Bila ya mfumo dume wanatukuchukia poa san hawa wadadaMfumo dume ndio wenyewe