Passport ya Tanzania na Ubora Wake

Sawana

Senior Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
130
Reaction score
46
Utafiti uliofanyika hapa duniani unaonyesha kuwa hati ya kusafiria (Passport) ya Tanzania ni ya 57 duniani kwa ubora, na mtu mwenye naye anaweza kutembelea nchi 61 duniani bila ya kuwa na visa au kuchukua visa akiwa uwanja wa ndege wa nchi hiyo.

Kenya ndiyo nchi ya kwanza katika eneo la Africa Mashariki, na ya 50 duniani ambayo unaweza tembelea nchi 68, bila kuhitajika kuwa na visa za nchi hizo. Katika Afrika Mashariki, Tanzania ni ya pili, Uganda ni ya tatu, Rwanda na Burundi katika utaratibu huo.

 
Tupo ktk Top 60 ! pole pole ndiyo mwendo..... ishara nzuri kwa maendeleo na uchumi bora....!
 
Nisichoelewa ni kwa nini South Korea ni ya pili kama nakumbuka vizuri maana nimetembelea hiyo link? Wana nini so special mpaka wakubalike hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…