Passo mpya mil.6 pale janToyota passo
Year: 2005
C.C. 1290
43,000 km
Price 7m
Contact 0719444553
Ni yamwanadiplomasia. Fully duty paid (ndo mana inaplate number ya njano) amepata post nje ya nchi ndo mana inauzwa. Kaitumia wiki 2 tu. KaribuniView attachment 1302306View attachment 1302307View attachment 1302308View attachment 1302309View attachment 1302310View attachment 1302311View attachment 1302312
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo uoneshwe mpaka risiti ya TRA alionunulia. Mdomo mrefuDSA afu kaitumia wiki mbili tu!
Ok sisterHiv malika ni biashara unafanya au mashindano Brother!
Unge-focus zaidi kwenye positivity ya hii biashara yako uliyotangaza kuliko lugha unayotumia.
Hata mimi sielewiNingekuwa na hiyo pesa ningekanunua ila nisichokielewa katika biashara ya magari Tz tunatumia vigezo gani gari kuliita jipya au new model maana mf hapa naona ka passo ka mwaka 2005 kanaitwa kapya! Hivi ni sahihi?