[QNi , post: 15678760, member: 130878"]Tupia picha ndg itapendeza japo maelezo umeyaweka sawa ila macho kuona nayo ni mhimu..[/QUOTE]
Ni kweli kabisa dr. adam,
Tafadhari angalia tena picha zitakua zineisha ingia. Nilibonyeza kitufe cha ku post wakati bado sijaweka picha (nilikibonyeza bila kutarahia)
Karibu!