Passo for Sale

Na kama umeuza gari mteja sio wa jamii forum na sio million 7 !!!
 
Hizi ni biashara usiwe na pupa wewe wacha wenye hela waongee.

Huyu badala ya kutafuta gari; yeye anatafuta alphabet! Hivi hajui kwamba kuna gari zilizohamishwa kutoka registration convention ya say TZM kuja hii ya sasa na bado ziko katika Tip Top condition kuliko hata baadhi zenye Label B na C registration!

Wewe omba upunguziwe bei kama unataka gari seriously lakini sio kubeza biashara za wenzio! Sio uungwana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…